HomeHabariTop Stories

Mama mzazi wa Mbunge Halima Mdee, Theresa Mdee afariki Dunia

Mama Mzazi wa Mbunge Halima Mdee, Theresia Mdee, amefariki dunia leo July 30,2024 katika Hospitali ya Benjamin Mkapa Dodoma alikokuwa anapat...

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo July 24, 2024
Novatus aondoka Shakhtar ajiunga Goztepe
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo July 23, 2024

Mama Mzazi wa Mbunge Halima Mdee, Theresia Mdee, amefariki dunia leo July 30,2024 katika Hospitali ya Benjamin Mkapa Dodoma alikokuwa anapatiwa matibabu.

Mama Mdee alilazwa katika Hospitali hiyo mara kadhaa kwa matibabu ambapo mara ya mwisho kabla ya umauti kumfika alikuwa amelazwa Hospitalini hapo kwa muda wa wiki tatu mfululizo.

Viongozi mbalimbali wamewahi kumtembelea kumjulia hali akiwemo Rais Samia ambaye alifika kumjulia hali Hospitali February 01,2024 akitanguliwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ambaye alimtembelea January 30,2024 na Spika wa Bunge alimtembelea January 31,2024.

Maziko ya Theresia yanayarajiwa kufanyika wiki ijayo nyumbani kwao Moshi Vijijini, taarifa zaidi kukujia. #MillardAyoUPDATES #PumzikakwaAmaniMamaHalima 🙏🏿

The post Mama mzazi wa Mbunge Halima Mdee, Theresa Mdee afariki Dunia first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/L92N6Pl
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Mama mzazi wa Mbunge Halima Mdee, Theresa Mdee afariki Dunia
Mama mzazi wa Mbunge Halima Mdee, Theresa Mdee afariki Dunia
https://i.ytimg.com/vi/n8ltJxEv9II/hqdefault.jpg
https://i.ytimg.com/vi/n8ltJxEv9II/default.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2024/07/mama-mzazi-wa-mbunge-halima-mdee.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2024/07/mama-mzazi-wa-mbunge-halima-mdee.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy