Novatus aondoka Shakhtar ajiunga Goztepe
HomeHabariTop Stories

Novatus aondoka Shakhtar ajiunga Goztepe

Kiungo Mtanzania Novatus Dismas Miroshi (21) amejiunga na Club ya Goztepe ya Uturuki kwa Mkataba wa miaka minne baada ya kumaliza Mkataba wa...

Kiungo Mtanzania Novatus Dismas Miroshi (21) amejiunga na Club ya Goztepe ya Uturuki kwa Mkataba wa miaka minne baada ya kumaliza Mkataba wake wa Mkopo Shakhtar Donetsk ya Ukraine.

Novatus msimu uliopita alicheza Shakhtar aliyojiunga nao akitokea Zulte Waregem ya Ubelgiji kwa Mkopo wenye kipengele cha kununuliwa moja kwa moja lakini hilo halikufanikiwa.


Goztepe ni timu iliyopanda kucheza Ligi Kuu Uturuki msimu wa 2024/2025 baada ya kumaliza nafasi ya pili msimu uliopita katika Ligi daraja la kwanza Uturuki.

The post Novatus aondoka Shakhtar ajiunga Goztepe first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/gQfo68B
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Novatus aondoka Shakhtar ajiunga Goztepe
Novatus aondoka Shakhtar ajiunga Goztepe
https://millardayo.com/wp-content/uploads/2024/07/IMG_0655-950x636.jpeg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2024/07/novatus-aondoka-shakhtar-ajiunga-goztepe.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2024/07/novatus-aondoka-shakhtar-ajiunga-goztepe.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy