ARSENAL YATAMBA KUREJEA KWENYE UBORA
HomeMichezo

ARSENAL YATAMBA KUREJEA KWENYE UBORA

  NYOTA wa kikosi cha Arsenal,  Willian amesema kuwa anaamini uwepo wa Kocha Mkuu, Mikel Arteta utawarejesha kwenye ubora. Winga huyo w...

VIDEO: BABU TALE AKWERWA NA NENO MARAIS NCHINI
HATMA YA RAMOS REAL MADRD KUJULIKANA MWEZI HUU
VIDEO: DIAMOND AOMBEWA KURA BUNGENI, SIMBA NA YANGA ZATAJWA

 


NYOTA wa kikosi cha Arsenal,  Willian amesema kuwa anaamini uwepo wa Kocha Mkuu, Mikel Arteta utawarejesha kwenye ubora.


Winga huyo wa Arsenal,  raia wa Brazil amesema kuwa anaamini timu hiyo ipo mikono salama chini ya Arteta na itatamba kwa mara nyingine tena.


Ikumbukwe kwamba Arsenal haijashinda ubingwa wa Premier League tangu 2004 na kwa sasa haina uhakika wa kufanya hivyo.


Winga huyo amesema wapo kwenye mwendo mzuri chini ya msaidizi huyo wa zamani wa Pep Guardiola wa Manchester City. 


"Nadhani ina kila kitu cha kuifanya iwe na dira nzuri ni Klabu kubwa ipo mikono ya kocha bora ana kila kitu kitakachoifanya timu iwe bora,".



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: ARSENAL YATAMBA KUREJEA KWENYE UBORA
ARSENAL YATAMBA KUREJEA KWENYE UBORA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgEwyEX3hMUaswnAP8G0SHyk_5k5FIssvhY3SroIelktklzvlc1TDGl8SOZtFQ_7-1ebF4thW9ZnTqokLU11Gx8JhHDeYvdRVjeKEMUtwHrFLhtjNhyXOkVarFKk5YIz06rWYuhupM3Qvh0/w640-h440/IMG_20210401_064844_197.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgEwyEX3hMUaswnAP8G0SHyk_5k5FIssvhY3SroIelktklzvlc1TDGl8SOZtFQ_7-1ebF4thW9ZnTqokLU11Gx8JhHDeYvdRVjeKEMUtwHrFLhtjNhyXOkVarFKk5YIz06rWYuhupM3Qvh0/s72-w640-c-h440/IMG_20210401_064844_197.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/arsenal-yatamba-kurejea-kwenye-ubora.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/arsenal-yatamba-kurejea-kwenye-ubora.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy