Wadau wa Maonesho ya Mitindo Wahimizwa Kushiriki Katika Mageuzi ya Tasnia
HomeHabariTop Stories

Wadau wa Maonesho ya Mitindo Wahimizwa Kushiriki Katika Mageuzi ya Tasnia

Wadau wa maonesho ya mitindo nchini wamehimizwa kushiriki kikamilifu katika maandalizi ya matukio hayo ili kuimarisha ufanisi na weledi ndan...

Mwanaume ahukumiwa miaka 60 kwa kuchoma moto familia ya watu 5 ya Senegal
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo July 3, 2024
Takriban watu 25 wamefariki na wengine 53 kujeruhiwa katika ajali ya lori Nigeria

Wadau wa maonesho ya mitindo nchini wamehimizwa kushiriki kikamilifu katika maandalizi ya matukio hayo ili kuimarisha ufanisi na weledi ndani ya tasnia hiyo.

Akizungumza katika uzinduzi wa msimu wa nne wa Safari Fashion Weekend, unaotarajiwa kufanyika baadaye mwaka huu, muandaaji wa jukwaa hilo, Bi. Lily Massa, amesema dhamira ya mwaka huu ni kuiunganisha mitindo na asili kwa kuonyesha mavazi na vyakula vya kiasili kutoka kwa makabila mbalimbali ndani na nje ya nchi.

“Tunataka kuleta mtazamo mpya kwa kuhusisha asili na mitindo, tukionyesha urithi wa tamaduni zetu kupitia mavazi na chakula cha kiasili,” alisema Lily Massa.

Kwa upande wao, wadau waliokuwepo kwenye uzinduzi huo wamesisitiza umuhimu wa kushiriki katika majukwaa kama haya ili kuendeleza tasnia ya mitindo na kuleta fursa kwa vijana.

 

The post Wadau wa Maonesho ya Mitindo Wahimizwa Kushiriki Katika Mageuzi ya Tasnia first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/TufIdqV
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Wadau wa Maonesho ya Mitindo Wahimizwa Kushiriki Katika Mageuzi ya Tasnia
Wadau wa Maonesho ya Mitindo Wahimizwa Kushiriki Katika Mageuzi ya Tasnia
https://millardayo.com/wp-content/uploads/2025/03/IMG-20250302-WA0006-950x633.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2025/03/wadau-wa-maonesho-ya-mitindo-wahimizwa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2025/03/wadau-wa-maonesho-ya-mitindo-wahimizwa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy