KONDE BOY WA SIMBA CHAGUO LA GOMES ATAJA KINACHOMPA FURAHA
HomeMichezo

KONDE BOY WA SIMBA CHAGUO LA GOMES ATAJA KINACHOMPA FURAHA

 LUIS Miquissone,  kiungo mshambuliaji wa Klabu ya Simba amesema kuwa anachofurahia ndani ya uwanja ni juhudi na kuona timu inapata matoke...

ARSENAL KAZINI LEO LIGI KUU ENGLAND
MSIMU MPYA, VIBE JIPYA NDANI YA EPL NA LALIGA WIKIENDI HII
LUKAKU ACHEKELEA KURUDI CHELSEA

 LUIS Miquissone,  kiungo mshambuliaji wa Klabu ya Simba amesema kuwa anachofurahia ndani ya uwanja ni juhudi na kuona timu inapata matokeo chanya. 


Miquissone ni chaguo la kwanza kwa Kocha Mkuu, Didier Gomes ana tuzo moja ya mchezaji chaguo la mashabiki kwa mwezi Februari pia katika Ligi ya Mabingwa Afrika bao lake alilowatungua Al Ahly lilichaguliwa kuwa bao bora.


Bao hilo alifunga akiwa nje ya 18 kwa shuti kali lililomshinda mlinda mlango wa Al Ahly akimalizia pasi ya mshikaji wake Clatous Chama. 

Kwa sasa kikosi cha Simba kinajiandaa kwa ajili ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi dhidi ya AS Vita unaotarajiwa kuchezwa Aprili 3, Uwanja wa Mkapa.

Walipowafuata DR Congo,  ubao ulisoma AS Vita 0-1 Simba na mpachika bao alikuwa ni Chris Mugalu kwa penalti iliyosababishwa na Luis wengi wanapenda kumuita Konde Boy. 

Nyota huyo amesema:"Ninapenda kuona timu inapata matokeo, ninapenda kufanya juhudi muda wote na kila wakati, mashabiki wazidi kutupa sapoti," . 



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: KONDE BOY WA SIMBA CHAGUO LA GOMES ATAJA KINACHOMPA FURAHA
KONDE BOY WA SIMBA CHAGUO LA GOMES ATAJA KINACHOMPA FURAHA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgzQy6LHKJ1gHQPY1IFXSNflRA8hW7qzY0O7AXEG0nrz6KXMEJ335MGhdoKzpKodvTUyuEdXNXg2pJJJcCc1KnGNu5daBLAe5kuwmqTKEBUCKcdHN8jQ3P6JT6dinztCTiGFakkyHnFVg_U/w640-h426/IMG_20210331_061119_446.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgzQy6LHKJ1gHQPY1IFXSNflRA8hW7qzY0O7AXEG0nrz6KXMEJ335MGhdoKzpKodvTUyuEdXNXg2pJJJcCc1KnGNu5daBLAe5kuwmqTKEBUCKcdHN8jQ3P6JT6dinztCTiGFakkyHnFVg_U/s72-w640-c-h426/IMG_20210331_061119_446.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/konde-boy-wa-simba-chaguo-la-gomes.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/konde-boy-wa-simba-chaguo-la-gomes.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy