Zaidi ya wanafunzi 200 wajengewa uwezo kwa vitendo
HomeHabariTop Stories

Zaidi ya wanafunzi 200 wajengewa uwezo kwa vitendo

Jitihada Za Serikali ya awamu ya Sita ni kuhakikisha sekta ya elimu inaboreshwa na kutolewa kwa nadharia na Vitendo zaidi ili kuwarahisishia...

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo October 5, 2024
DR Congo: Idadi ya waliofariki kutokana na ajali ya meli Ziwa Kivu yaongezeka
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo October 4, 2024

Jitihada Za Serikali ya awamu ya Sita ni kuhakikisha sekta ya elimu inaboreshwa na kutolewa kwa nadharia na Vitendo zaidi ili kuwarahisishia Wahitimu kuweza kujiajiri pindi wakimaliza masomo yao.

Zaidi ya Wanafunzi 200 wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya kutokea Ndaki ya usanifu Majengo na Teknolojia ya Majenzi (coACT) wamefanya mafunzo ya Usanifu Majengo kwa Vitendo Mkoani Iringa na wameeleza umuhimu wa mafunzo hayo namna yatakavyokwenda kuleta tija mara baada ya kumaliza masomo yao.

Nao Wakufunzi ambao wameambatana  katika Safari hiyo na Wanafunzi hao  wamesema kuwa wanaamini kwenye ufundishaji wa Vitendo kwani unamjengea uwezo Mwanafunzi kuweza kujijenga zaidi katika soko la ajira kulingana na fursa zilizopo.

” tunazipongeza juhudi za serikali kwa kutuwekea mazingira rafiki ya sisi wanafunzi kujifunza kuanzia suala la mikopo ”

The post Zaidi ya wanafunzi 200 wajengewa uwezo kwa vitendo first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/K8TdbYB
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Zaidi ya wanafunzi 200 wajengewa uwezo kwa vitendo
Zaidi ya wanafunzi 200 wajengewa uwezo kwa vitendo
https://millardayo.com/wp-content/uploads/2024/12/IMG-20241221-WA0017-950x633.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2024/12/zaidi-ya-wanafunzi-200-wajengewa-uwezo.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2024/12/zaidi-ya-wanafunzi-200-wajengewa-uwezo.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy