HomeHabariTop Stories

Watu 20 wasadikika kufariki kwenye mkanyagano wakati wa mgao wa chakula

Takriban watu 20 wamepoteza maisha katika tukio la mkanyagano lililotokea katika zoezi la ugawaji chakula katika Jimbo la Anambra, kusini ma...

Aweso akamilisha kazi ya wiki kwa siku 1 Buhongwa,yamalizika usiku
Habari kubwa Magazetini Kenya leo September 9, 2024
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 9, 2024

Takriban watu 20 wamepoteza maisha katika tukio la mkanyagano lililotokea katika zoezi la ugawaji chakula katika Jimbo la Anambra, kusini mashariki mwa Nigeria.

Mkanyagano huo wa watu umetokea katika mji wa Okija katika eneo la Ihiala baada ya mfanyabishara mmoja mtajika kujitolea kuwagawia watu chakula kabla ya kusherehekea Sikukuu ya Krismasi.

Mkanyagano huo uliouwa watu wasiopungua 20 umetokea katika makazi ya Ernest Obiejesi, mfanyababiashara na mfadhili mashuhuri wa nchini Nigeria. Aghalabu ya waliopoteza maisha ni wanawake.

Baadhi ya majeruhi walikimbizwa katika hospitali za karibu kwa matibabu mbali na idadi ya raia waliothibitishwa kuaga dunia katika tukio hilo.

Charles Aburime msemaji wa Gavana wa jimbo la Anambra amesema serikali ya jimbo hilo imepata taarifa kuhusu hali ya mambo na itatoa taarifa baada ya uchunguzi kukamilika.

Mkanyagano huu umetokea katika jimbo Anambra siku kadhaa baada ya watoto 35 kupoteza maisha katika mkanyagano mwingine katika tamasha la wanafunzi huko Ibadan, kusini magharibi mwa Nigeria.

The post Watu 20 wasadikika kufariki kwenye mkanyagano wakati wa mgao wa chakula first appeared on Millard Ayo.



from Millard Ayo https://ift.tt/0Z83MYw
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Watu 20 wasadikika kufariki kwenye mkanyagano wakati wa mgao wa chakula
Watu 20 wasadikika kufariki kwenye mkanyagano wakati wa mgao wa chakula
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2024/12/watu-20-wasadikika-kufariki-kwenye.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2024/12/watu-20-wasadikika-kufariki-kwenye.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy