KUUMIA KWA DJUMA WA AS VITA SIMBA WATUMA SALAMU ZA POLE
HomeMichezo

KUUMIA KWA DJUMA WA AS VITA SIMBA WATUMA SALAMU ZA POLE

  WAKATI wapinzani wa Klabu ya Simba kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika,  AS Vita wakitarajiwa kutua leo Bongo kwa ajili ya maandalizi ya mwi...

SILVA ATAJWA KUIBUKIA ARSENAL
HUYU HAPA MBADALA WA METACHA MNATA YANGA
VIDEO: METACHA MNATA HAJALIPWA YANGA, ISHU YAKE SIMBA MENEJA AFUNGUKA

 


WAKATI wapinzani wa Klabu ya Simba kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika,  AS Vita wakitarajiwa kutua leo Bongo kwa ajili ya maandalizi ya mwisho ya mchezo wao utakaochezwa Aprili 3, Uwanja wa Mkapa, Simba wametuma pole.


Salamu hizo za pole kwa Simba inayonolewa na Didier Gomes raia wa Ufaransa zinatokana na kuumia kwa beki wao wa kupanda na kushuka Djuma Shaban. 


Shaban aliwapa tabu Simba kwenye mchezo wa Kwanza wa hatua ya makundi uliochezwa nchini Congo na ubao kusoma AS Vita 0-1 Simba.


Ule upande anaocheza mzawa Mohamed Hussein ulipata tabu jambo ambalo lilimfanya Gomes awatumie viungo wake Luis Miquissone na Clatous Chama kuongeza nguvu ya kukaba.


Kupitia ukurasa wake rasmi wa Istagram Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara amesema, "Pole sana Djuma Shaban, ".


Nyota huyo chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, Florent Ibenge ataukosa mchezo wa pili utakaochezwa Uwanja wa Mkapa,  Aprili 3.

Katika mchezo huo Simba wenye pointi 10 katika kundi A wanakibarua cha kusaka pointi moja ili kutinga hatua ya makundi huku AS Vita wakiwa na uhitaji mkubwa wa pointi tatu mazima ili kufufua matumaini ya kutinga hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa kwa kuwa akimalizana na Simba wana mchezo mwingine mkononi.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: KUUMIA KWA DJUMA WA AS VITA SIMBA WATUMA SALAMU ZA POLE
KUUMIA KWA DJUMA WA AS VITA SIMBA WATUMA SALAMU ZA POLE
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg4al_42e9ZlphBzb7mBAcUgYQ-ctYgARdpMNIFtULd8-aCHLKUYxVPd2jx-xHBMJCX1vbc8FS7m22gZeut7I2S_dAEwfrMOd8CiIuwRpEV7lq0Iujod2Fxb0eQKASIde5LkP8hwUGhv96Q/w512-h640/IMG_20210331_223801_784.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg4al_42e9ZlphBzb7mBAcUgYQ-ctYgARdpMNIFtULd8-aCHLKUYxVPd2jx-xHBMJCX1vbc8FS7m22gZeut7I2S_dAEwfrMOd8CiIuwRpEV7lq0Iujod2Fxb0eQKASIde5LkP8hwUGhv96Q/s72-w512-c-h640/IMG_20210331_223801_784.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/kuumia-kwa-djuma-wa-as-vita-simba.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/kuumia-kwa-djuma-wa-as-vita-simba.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy