ENOCK Bwigane ambaye alikuwa mtu wa karibu wa Mwalimu Kashasha aliyekuwa mchambuzi wa masuala ya michezo katika kituo cha TBC ambaye ametang...
ENOCK Bwigane ambaye alikuwa mtu wa karibu wa Mwalimu Kashasha aliyekuwa mchambuzi wa masuala ya michezo katika kituo cha TBC ambaye ametangulia mbele za haki Jana, Agostii 19 ameweka wazi kwamba waliumiza kichwa kumpata mchambuzi mahiri mpaka wakampata Kashasha kwa sababu wapo wachambuzi wengi ambao wamepita hapo na hakuna ambaye alikuwa akidumu. Pumzika kwa amani Kashasha.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS