JOASH ONYANGO KUSEPA BONGO, HALI YAKE IPO HIVI
HomeMichezo

JOASH ONYANGO KUSEPA BONGO, HALI YAKE IPO HIVI

  BEKI kisiki wa Klabu ya Simba, Joash Onyango amesema kuwa yupo vizuri baada ya kupata maumivu kwenye mchezo wao dhidi ya Al Merrikh.  ...

RONALDO JINA LAKE LAJUMUISHWA KUWANIA TUZO YA BALLON d'Or
YANGA KUSHUKA UWANJANI LEO MBELE YA JKU SC
VIDEO:TAZAMA MORRISON,WAWA WALIVYOZINGUANA, SAKHO NA MUGALU WANA PROGRAM

 


BEKI kisiki wa Klabu ya Simba, Joash Onyango amesema kuwa yupo vizuri baada ya kupata maumivu kwenye mchezo wao dhidi ya Al Merrikh. 

Jana Machi 16 wakati ubao ukisoma Simba 3-0 Al Merrikh,  Onyango alipata maumivu dakika ya 43 na nafasi yake ikichukuliwa na Erasto Nyoni.

Ulikuwa ni mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi ambapo Simba iliweza kusepa na pointi tatu jumla. 

Hali yake ilionekana kuwatisha mashabiki kwa kuwa alitolewa akiwa amebebwa kwenye machela baada ya mpira kumgonga kichwani kwenye harakati za kutimiza majukumu yake.

Onyango amesema:-"Nipo salama na ninaendelea vizuri, nilipata maumivu wakati ule na kuweza kupewa huduma ya kwanza, natarajia kuelekea Kenya kwa timu ya Taifa," .

Onyango amekuwa kwenye kiwango ndani ya kikosi cha Simba kinachonolewa na Didier Gomes kwa kuwa na maelewano mazuri na Pascal Wawa. 



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: JOASH ONYANGO KUSEPA BONGO, HALI YAKE IPO HIVI
JOASH ONYANGO KUSEPA BONGO, HALI YAKE IPO HIVI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiGziTo79CPUFoVyvrNFdfM0vMdhJDP-a1yREmQY2QqOsiKbsmMV34fzt7lfAa9VeUSspS8lQ2yR66HYqcWRiQMqSQwBt66QUbutJVZSWFLn6iO5gUFgLHBlqwMeZFH2NoG8YkhyphenhyphenkqgM65x/w640-h640/IMG_20210317_083037_839.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiGziTo79CPUFoVyvrNFdfM0vMdhJDP-a1yREmQY2QqOsiKbsmMV34fzt7lfAa9VeUSspS8lQ2yR66HYqcWRiQMqSQwBt66QUbutJVZSWFLn6iO5gUFgLHBlqwMeZFH2NoG8YkhyphenhyphenkqgM65x/s72-w640-c-h640/IMG_20210317_083037_839.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/joash-onyango-kusepa-bongo-hali-yake.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/joash-onyango-kusepa-bongo-hali-yake.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy