Makakala:tunaanza Siku 10 Kusaka Wahamiaji Haramu Loliondo
HomeHabari

Makakala:tunaanza Siku 10 Kusaka Wahamiaji Haramu Loliondo

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Uhamiaji Dkt. Anna Makakala ametangaza kuanza kwa operesheni maalum ya siku kumi kusaka wahamiaji haramu ka...


Kamishna Jenerali wa Jeshi la Uhamiaji Dkt. Anna Makakala ametangaza kuanza kwa operesheni maalum ya siku kumi kusaka wahamiaji haramu katika eneo la Loliondo, Ngorongoro mkoani Arusha.

Kamishna Jenerali Makakala amebainisha hayo  na kusema kuwa zoezi hilo litaenda sawia na zoezi linaloendelea la uwekaji wa alama za mipaka katika Pori Tengefu la Loliondo.

Dkt. Makakala amesisitiza kufuatwa kwa sheria za nchi pale wageni wanapotaka kuingia au kutoka nchini, na kwamba Uhamiaji imejipanga vema kusimamia eneo hilo katika mipaka yote nchini.

“Nchi yetu imebarikiwa kwa kuwa na maeneo mazuri ambayo yanavutia wahamiaji haramu kufika nchini kwa sababu tofauti, hatutakubali hilo litokee wakati wowote ule,” alisema Makakala.

Kwa upande wake, Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro Mwalimu Raymond Mangwala amemfahamisha Dkt.Makakala kuwa wilaya yake inaendelea vema na utekelezaji wa zoezi la uwekaji wa alama za mipaka katika eneo la Pori Tengefu la Loliondo na kwamba atatoa ushirikiano katika zoezi la kusaka wahamiaji haramu ili wale wote watakaobainika wachukuliwe hatua za kisheria kwa mujibu wa sheria za nchi.



Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Makakala:tunaanza Siku 10 Kusaka Wahamiaji Haramu Loliondo
Makakala:tunaanza Siku 10 Kusaka Wahamiaji Haramu Loliondo
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj7mmjlO-xPu3hQDYJOZhINI2zfltYh6DIqtd0BaI44XRSbwKkyIp19UaGJ1UNaE7n6JqGvULy6s95tTFHLGD2Ou5tVOaSS5Wyq4VGuk9uLU7UryAqYnWS4ooZKbGLo76uy5WsziEIb3142bJESeYvp4ptzctL57MWUWhKXWEQZqBRc5ua7SGu7pgqbJA/s16000/Screenshot_20220622-152728.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj7mmjlO-xPu3hQDYJOZhINI2zfltYh6DIqtd0BaI44XRSbwKkyIp19UaGJ1UNaE7n6JqGvULy6s95tTFHLGD2Ou5tVOaSS5Wyq4VGuk9uLU7UryAqYnWS4ooZKbGLo76uy5WsziEIb3142bJESeYvp4ptzctL57MWUWhKXWEQZqBRc5ua7SGu7pgqbJA/s72-c/Screenshot_20220622-152728.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2022/06/makakalatunaanza-siku-10-kusaka.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2022/06/makakalatunaanza-siku-10-kusaka.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy