Wizara Ya Afya Yakutana Na Shirika La Afya Duniani (WHO)
HomeHabari

Wizara Ya Afya Yakutana Na Shirika La Afya Duniani (WHO)

Na .WAF-Dodoma Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu  June 24,2022 amekutana na kufanya mazungumzo na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Afya Dun...

Jamhuri kutumia mashahidi sita na vielelezo 4 Kesi ndogo ya Freeman Mbowe na Wenzake
Wizara Ya Maliasili Na Utalii Yafanikiwa Kutegua Mitego 380 Ya Kuulia Wanyamapori Katika Hifadhi Ya Nyerere
Simu Ya Kwanza Ya Infinix Kuja Na Amoled Display Na Processor Speed G96 Kuzinduliwa Novemba 11.


Na .WAF-Dodoma

Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu  June 24,2022 amekutana na kufanya mazungumzo na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Dkt. Zabulon Yoti kwa ajili ya kujadiliana mambo mbalimbali yanayohusu Afya.

Miongoni mwa mambo walioyajadili ni pamoja na uzinduzi wa utoaji wa chanjo ya UVIKO-19 katika Mkoa wa Manyara ambapo watashiriki viongozi kutoka Wizara ya Afya pamoja na Mwakilishi Mkazi kutoka Shirika la Afya Duniani na wananchi kwa ujumla.

Aidha Dkt. Yoti ameahidi kuendelea kushirikiana na Tanzania katika kupambana na ugonjwa wa Polio na UVIKO-19 pamoja na kutoa ushauri Serikali iendelee kuhuisha mara kwa mara Mpango Mkakati wa utoaji wa chanjo nchini



Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Wizara Ya Afya Yakutana Na Shirika La Afya Duniani (WHO)
Wizara Ya Afya Yakutana Na Shirika La Afya Duniani (WHO)
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj28TEKlFIpnwHjLHVhnZgFV1yKPyEGLHVDMzKp4LenJENVXvHnSQ_oXYwJIP38T8Lg_BDr8IUEk0rzivTewWvSeInn1FkGIKci8MpNg7c-y4hXxRp2v3u8DzFmV6cpu307Ls3lolhxoPhKyoz-zZfsRG4CXelRwzcAbig9_Ytl-HIMPxnvHjztM08o6Q/s16000/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj28TEKlFIpnwHjLHVhnZgFV1yKPyEGLHVDMzKp4LenJENVXvHnSQ_oXYwJIP38T8Lg_BDr8IUEk0rzivTewWvSeInn1FkGIKci8MpNg7c-y4hXxRp2v3u8DzFmV6cpu307Ls3lolhxoPhKyoz-zZfsRG4CXelRwzcAbig9_Ytl-HIMPxnvHjztM08o6Q/s72-c/1.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2022/06/wizara-ya-afya-yakutana-na-shirika-la.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2022/06/wizara-ya-afya-yakutana-na-shirika-la.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy