HEMED Morocco Seleman, Kocha Mkuu wa Klabu ya Namungo FC amesema kuwa wanahitaji pointi tatu mbele ya Klabu ya Pyramids. Namungo inay...
HEMED Morocco Seleman, Kocha Mkuu wa Klabu ya Namungo FC amesema kuwa wanahitaji pointi tatu mbele ya Klabu ya Pyramids.
Namungo inayiwakilisha Tanzania kwenye Kombe la Shirikisho leo Machi 17 itakuwa Uwanna wa Mkapa kuikabili Pyramids ambapo ni mchezo wa pili.
Ule wa awali uliochezwa ugenini, Namungo ilipoteza kwa kufungwa bao moja bila dhidi ya Raja Casablanca hivyo leo wanakazi ya kufufua matumaini ya kutinga hatua ya robo.
“Tunaiheshimu Pyramids, ni timu kubwa. Tunaenda kuikabili tukiwa na malengo ya kupata alama tatu. Hautakuwa mchezo rahisi ila tuko tayari” .
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS