YANGA WAMVUTIA KASI DAVID MOLINGA
HomeMichezo

YANGA WAMVUTIA KASI DAVID MOLINGA

  INAELEZWA kuwa, uongozi wa Yanga upo kwenye hesabu za kumrejesha kundini mshambuliaji wao wa zamani David Molinga 'Falcao’ kwa lengo...

GOMES ANAAMINI KWAMBA WAFUNGAJI WAKE WATAMALIZA NAFASI YA KWANZA KWA UTUPIAJI
BRUNO FERNANDES AELEZA HALI ZA WACHEZAJ ZILIVYOKUWA BAADA YA KUPIGWA 4G
MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA

 INAELEZWA kuwa, uongozi wa Yanga upo kwenye hesabu za kumrejesha kundini mshambuliaji wao wa zamani David Molinga 'Falcao’ kwa lengo la kutaka kumrudisha msimu ujao.


Yanga waliachana na mshambuliaji huyo msimu uliopita akiwa amefunga mabao 12 ndani ya Ligi Kuu Bara ambayo msimu huu mpaka sasa timu hiyo ikicheza mechi 23, hakuna mchezaji wa timu hiyo aliyefikia idadi hiyo.


Kwa sasa kinara wa mabao ndani ya Yanga katika Ligi Kuu Bara ni Deus Kaseke mwenye sita. Michael Sarpong na Yacouba Songne wametupia mabao mannemanne.


Molinga kwa sasa yupo ndani ya Klabu za Zesco United ya nchini Zambia. Inatajwa kuwa yupo kwenye rada za Yanga ili kurejea kuongeza makali. 

 




Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: YANGA WAMVUTIA KASI DAVID MOLINGA
YANGA WAMVUTIA KASI DAVID MOLINGA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiKR3_HZDivMERLH4K4-ZYAl2Aq3GoHYG7F8JoOT5kJpFNi2ybg4hVyNetoji-3xP9cu7sRTH15WcmTdm5w5e1OOhF4TSASR-gCSzoNblO9A_WB5s5UjvOgmyYR9pXsUEr8WdW0Vj3KIgnu/w588-h640/molinga+baba.PNG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiKR3_HZDivMERLH4K4-ZYAl2Aq3GoHYG7F8JoOT5kJpFNi2ybg4hVyNetoji-3xP9cu7sRTH15WcmTdm5w5e1OOhF4TSASR-gCSzoNblO9A_WB5s5UjvOgmyYR9pXsUEr8WdW0Vj3KIgnu/s72-w588-c-h640/molinga+baba.PNG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/yanga-wamvutia-kasi-david-molinga.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/yanga-wamvutia-kasi-david-molinga.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy