Mhubiri wa kimataifa TB Joshua Afariki Dunia
HomeHabari

Mhubiri wa kimataifa TB Joshua Afariki Dunia

Mhubiri wa kimataifa, Temitope Balogun Joshua maarufu  TB Joshua amefariki dunia jana Jumamosi Juni 5, 2021 nchini  Nigeria. Taarifa il...


Mhubiri wa kimataifa, Temitope Balogun Joshua maarufu  TB Joshua amefariki dunia jana Jumamosi Juni 5, 2021 nchini  Nigeria.

Taarifa iliyotolewa na kanisa lake la Scoan inaeleza kwamba TB Joshua alifariki muda mfupi baada ya kutoa huduma katika kanisa hilo Jumamosi.

TB Joshua alizaliwa mwaka 1963 na mpaka anakutwa na mauti alikuwa na umri wa miaka 58.

"Jumamosi Nabii TB Joshua alizungumza katika mkutano wa washirika kupitia Emmanuel TV alisema 'kila jambo na wakati wake, kuna wakati wa kuja hapa kwa maombi na wakati wa kurudi nyumbani baada ya ibada'."

"Mungu amemuita nyumbani Nabii TB Joshua kwa mapenzi yake. Nyakati zake za mwisho hapa duniani alizitumia katika huduma ya Mungu. Hiki ndio kitu alichozaliwa kukifanya, alikiishi na kukifia," inaeleza taarifa hiyo.

Hata hivyo, taarifa hiyo haijaeleza chanzo cha kifo chake huku ikiwataka waumini kumwombea mhubiri huyo na kuwapa nafasi wanafamilia kuomboleza kifo cha mpendwa wao.


Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Mhubiri wa kimataifa TB Joshua Afariki Dunia
Mhubiri wa kimataifa TB Joshua Afariki Dunia
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiZSe82VW-j1VD3eH9wZI7jS_KpdVoXfHtfSeuoAVhA1_7BFeiE1WU5InikSdAzF_Def6W62D_hYVcaqbLbFNfAio8WyYdH2S0JWrr5NFallxItays5B7T3SRn5UNiEHuqGnHk6THUljHAE/s16000/2.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiZSe82VW-j1VD3eH9wZI7jS_KpdVoXfHtfSeuoAVhA1_7BFeiE1WU5InikSdAzF_Def6W62D_hYVcaqbLbFNfAio8WyYdH2S0JWrr5NFallxItays5B7T3SRn5UNiEHuqGnHk6THUljHAE/s72-c/2.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/mhubiri-wa-kimataifa-tb-joshua-afariki.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/06/mhubiri-wa-kimataifa-tb-joshua-afariki.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy