Kijana Auawa kwa fumanizi, muuaji ajisalimisha polisi
HomeHabari

Kijana Auawa kwa fumanizi, muuaji ajisalimisha polisi

Mkazi wa kijiji cha Kibaoni wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro, Juvenal Claudi (20) ameuawa kwa kukatwa katwa na mapanga baada ya kufuman...

Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Novemba 5
Rais Samia amuwashia taa nyekundu Waziri Mbarawa ....."Njoo uniambie kwamba nimeshindwa"
Rais Samia avunja bodi ya bandari, Shirika la Meli


Mkazi wa kijiji cha Kibaoni wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro, Juvenal Claudi (20) ameuawa kwa kukatwa katwa na mapanga baada ya kufumaniwa akitaka kufanya mapenzi na na mke wa mtu.

Taarifa zinadai kuwa kijana huyo aliyeuawa alikuwa akichati na mke wa mtu ambapo baadaye mume wa mwanamke huyo, Riziki Shirima (22) alidaka simu ya mkewe na kukuta meseji za mapenzi.

Baada ya kukuta meseji hizo, mwanaume huyo aliweka mtego kwa kuendelea kumtumia meseji kijana huyo aliyeuawa, akijifanya yeye ndio mwanamke huku akimtaka kuja nyumbani jambo ambalo alifanya hivyo.

Baada ya kijana huyo kufika nyumbani alianza kushambuliwa kwa kukatwa mapanga na baadaye kufariki dunia.

Kamanda wa Polisi Mkoani wa Kilimanjaro, Simon Maigwa amethibitisha kutokea kwa tukio ambapo amesema tukio lilitokea usiku wa kuamkia Desemba 4 na kusema baada ya mwanaume huyo kufanya mauaji alijisalimisha mwenyewe polisi.

"Ni kweli hili tukio limetokea katika kijiji cha Kibaoni wilaya ya Rombo ambapo mwanaume alimfumania mkewe nyumbani kwake akiwa na huyu kijana aliyeuawa wakitaka kufanya mapenzi," amesema Kamanda Maigwa

Kamanda Maigwa amesema jeshi la polisi linaendelea kumshikilia muuaji baada ya kujisalimisha mwenyewe polisi.

Credit:Mwananchi



Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Kijana Auawa kwa fumanizi, muuaji ajisalimisha polisi
Kijana Auawa kwa fumanizi, muuaji ajisalimisha polisi
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEgwXgBxe9LO2Mn28BD5GuRimRgbULQkyHIi8W3J2UlX9UKFdgD6s7ejpwcfw_5ayWHR6mc2fmWBi8xOu-mJjN1mL8nOLuK35zzU7eIlPqECiOGpKVmIT18QS9IIHjFE7igw3zJW_5Pbu34WqQe7x1O_5T0jZBkDGugcDN59YLRuM6ryeEa4Y_Xs9oDOPA=s16000
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEgwXgBxe9LO2Mn28BD5GuRimRgbULQkyHIi8W3J2UlX9UKFdgD6s7ejpwcfw_5ayWHR6mc2fmWBi8xOu-mJjN1mL8nOLuK35zzU7eIlPqECiOGpKVmIT18QS9IIHjFE7igw3zJW_5Pbu34WqQe7x1O_5T0jZBkDGugcDN59YLRuM6ryeEa4Y_Xs9oDOPA=s72-c
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/12/kijana-auawa-kwa-fumanizi-muuaji.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/12/kijana-auawa-kwa-fumanizi-muuaji.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy