Viongozi Wa Ushirika Watakiwa Kuwa Wawazi.
HomeHabari

Viongozi Wa Ushirika Watakiwa Kuwa Wawazi.

  Na Lucas Raphael,Tabora Mkuu wa wilaya ya Urambo mkoani Tabora Louis Bura amewataka viongozi wa vyama vya ushirika wa zao la tumbaku w...

 


Na Lucas Raphael,Tabora
Mkuu wa wilaya ya Urambo mkoani Tabora Louis Bura amewataka viongozi wa vyama vya ushirika wa zao la tumbaku wilayani humo kuwa wawazi katika usimamizi wa shughuli zote za ushirika ili kuepuka vyama hivyo kufa kutokana na madeni yasiyolipika.

Kauli hiyo ilitolewa jana  wakati akipokea vifaa vya kuchujia maji ya kunywa kwa ajili ya wanafunzi katika shule ya msingi Itundu wilayani humo.

Vifaa hivyo vilivyotolewa na kampuni ya ununuzi wa zao la Tumbaku ya alliance one kwa kushirikiana na mteja wa kampuni hiyo ya Korea Tomorrow &Clobal Corporation (KT&G).

Alisema kwamba kutokana na kukosekana kwa uwazi na uwajibikaji kwa baadhi ya viongozi wa vyma vya msingi vya ushirika kumesababisha baadhi  kushindwa kulipa madeni na kufa hali inayoadhiri kilimo cha tumbaku wilayani humo.

Alisema wilaya urambo ndio mkoa kilele kwa uzalishaji wa zao la Taumbaku nchini lakini kutokana na viongozi kutokwa wawazi kumeshabisha vyama kufa kutokana na madeni.

Alisema kwamba wilaya ya Urambo ilikuwa na vyama vya msingi vya ushirika 54 vilivyobakia ni 16 vingine vyote vimekufa kutokana na madeni yasiyilipika lakini kwa sasa vyama.

 “ Amcos wamekuwa wakikopeshwa  ,mbole na magunia ya kufungia tumbaku na mwisho wanashinda kulipa madeni kwa mujibu wa taratibu zilizowekwa.”alisema Mkuu wa wilaya yaUrambo .

Louis Bura alisema kwamba vyama vya msingi vya ushirika vinapasawa kubadilika kwa kufanya kazi kwa maslahi mapana  kwa kufuata  ,uadilifu ,uwazi na uwajibikaji kama miongozo ya ushirika inavyotaka.

Naye   mkurugenzi  cha uzalishaji wa zao la Tumbaku kutoka kampuni ya Alliance one, David Mayunga alisema  wametoa vifaa hivyo vya  kuchujia maji ya kunywa kwa wanafunzi wa shule ya msingi Itunda wilayani humo.

Alisema kwamba vifaa vipatavyo 943 kwa ajili ya shule 224 vikiwa na thamani ya shilingi million  283,182,900 kwenye maeneo wanayonunua  zao la tumbaku ikiwa ni kurudisha sehemu ya faida kwa jamii.

Alisema kwamba licha ya kutoa maeneo hayo wilaya ya urambo pekee nitapokea vifaa hivyo 54 kwa ajili ya shule za msingi 13 vikiwa na thamani ya shilingi milioni 16,216,200.

Mayungu alisema kwamba kutoa vifaa hivyo vya kuchunja maji ya kunywa vitaimarisha juhudi za serikali na wadau wengine kuhakikisha Afya za wanafunzi na walimu zinakuwa bora.

Alisema ari ya ufundishaji kwa walimu na mahudhurio shule kwa wanafunzi yataongezeka .

Mratibu utumikishwaji Watoto katika mashamba ya tumbaku Tanzania kutoka Alliance one  Laurence Safari alisema kwamba kutolewa kwa vifaa hivyo kutapunguza utoro kwa wanafunzi na kuongeza madhurio mashuleni.

Mwalimu mkuu shule ya msingi Itundu Grace Mombo aliishukuru kampuni hiyo ya ununuzi wa za zao la Tumbaku kwa kutoa vifaa hivyo ambavyo vitasaidia sana kupunguza homa za matumbo kwa wanafunzi .

Alisema kwamba maji yanoyotumika maendeo mengi ya vijijini sio safi na salama lakini kupatikana kwa vifaa hivyo vya kuchunja maji ya kunywa tatizo hilo litapungua


Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Viongozi Wa Ushirika Watakiwa Kuwa Wawazi.
Viongozi Wa Ushirika Watakiwa Kuwa Wawazi.
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEhowmVVkvv2XmXEn50WwVDTpitC2uuPPZrZfCJ1AEJGYSFgNzuvA7xBC418KRuSIxC-NqrP-8PteyUj1bY90W81otJNWT0FYjnX-lsfmmlAGWgpcg_s-LIM8CbPx6a-_kNGWYSWvqlP-B9ER50CDdmya5ME8WMsCl3BPa19pVwT2ul3ykD-6CJ8XBFc4g=s16000
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEhowmVVkvv2XmXEn50WwVDTpitC2uuPPZrZfCJ1AEJGYSFgNzuvA7xBC418KRuSIxC-NqrP-8PteyUj1bY90W81otJNWT0FYjnX-lsfmmlAGWgpcg_s-LIM8CbPx6a-_kNGWYSWvqlP-B9ER50CDdmya5ME8WMsCl3BPa19pVwT2ul3ykD-6CJ8XBFc4g=s72-c
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/12/viongozi-wa-ushirika-watakiwa-kuwa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/12/viongozi-wa-ushirika-watakiwa-kuwa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy