SHABIKI wa Yanga, Daud Yanga ameweka wazi kuwa kuna nafasi ya timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kupenya kwenye hatua ya makundi licha y...
SHABIKI wa Yanga, Daud Yanga ameweka wazi kuwa kuna nafasi ya timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kupenya kwenye hatua ya makundi licha ya kupoteza mchezo wa jana dhidi ya Benin baada ya dakika 90 kukamilika kwa ubao wa Uwanja wa Mkapa kusoma Taifa Stars 0-1 Benin.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS