KOCHA wa Biashara United ya Mara ameweka wazi kuwa walikuwa wanahitaji pointi tatu mbele ya Simba kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa ...
KOCHA wa Biashara United ya Mara ameweka wazi kuwa walikuwa wanahitaji pointi tatu mbele ya Simba kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Karume ila kwa walichokipata wanashukuru Mungu kwani mchezo ulikuwa na ushindani na timu zote zilikuwa zinahitaji ushindi.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS