MASHABIKI wa Biashara United wameweka wazi kuwa walikuwa wanahitaji ushindi mbele ya Simba ila ilikuwa ngumu kwao kwa kuwa waliamua kuwahuru...
MASHABIKI wa Biashara United wameweka wazi kuwa walikuwa wanahitaji ushindi mbele ya Simba ila ilikuwa ngumu kwao kwa kuwa waliamua kuwahurumia Simba kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Karume, Mara.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Pia wamewachambua nyota wapya wa Simba wakimtaja Yusuph Mhilu kuwa miongoni mwa wachezaji wenye uwezo mkubwa huku wengine ikiwa ni majina tu.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS