BAKITA Watakiwa Kutengeneza kanzi Data ya wakalimani itakayofikiwa kwa njia ya Mtandao
HomeHabari

BAKITA Watakiwa Kutengeneza kanzi Data ya wakalimani itakayofikiwa kwa njia ya Mtandao

 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Innocent Bashungwa ameliagiza Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA) kuwashirikisha wad...

 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Innocent Bashungwa ameliagiza Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA) kuwashirikisha wadau wa lugha ya Kiswahili katika kuboresha Mkakati wa Taifa wa Miaka 10 wa ubidhaishaji Kiswahili na mara baada ya hapo uzinduliwe na kuanza kutekelezwa.

Waziri Bashungwa ametoa agizo hilo katika kikao na watendaji wa Baraza hilo kilichofanyika ofisi za BAKITA Jijini Dar es Salam ambapo aliambatana na Naibu wake Mhe.  Pauline Gekul.

Pamoja na kuagiza ushirikishwa wa wadau katika uboreshaji wa Mkakati huo, Waziri Bashungwa pia amewaagiza BAKITA kufanya maboresho kadhaa, ikiwa ni pamoja na kuongeza ufunguzi wa vituo maalum vya kufundishia lugha ya Kiswahili na Utamaduni wa Mtanzania katika nchi mbalimbali Duniani.

Mkakati huo unaopendekezwa na BAKITA unalenga kubidhaisha lugha ya Kiswahili ndani na nje ya nchi kuanzia mwaka 2021-2031 ambapo lugha hiyo kwa miaka ya hivi karibuni imeanza kutumika maeneo mbalimbali duniani.

Kwa mujibu wa Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA) Bi. Consolata Mushi, baada ya kupokea maelekezo viongozi hao, hatua inayofuata ni kuwapitisha wadau wa Kiswahili katika mkakati huo kabla ya kuuwakilisha kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbasi kwa ajili ya hatua zaidi za kiutendaji na utekelezaji wa mkakati huo.



Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: BAKITA Watakiwa Kutengeneza kanzi Data ya wakalimani itakayofikiwa kwa njia ya Mtandao
BAKITA Watakiwa Kutengeneza kanzi Data ya wakalimani itakayofikiwa kwa njia ya Mtandao
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhB1tSdbqzV8m7Srax_DMvIwPA5yX5-v10B4WHMW2VQmjCHLJAQvjtnRFd1AQPvW-huF4UhhChfgVOjB7OADMsmPvx_3ONIISkVaRz50k1rr269BWCXTxUrx5dO-oqRLqlVIktZuYbxHJJH/s0/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhB1tSdbqzV8m7Srax_DMvIwPA5yX5-v10B4WHMW2VQmjCHLJAQvjtnRFd1AQPvW-huF4UhhChfgVOjB7OADMsmPvx_3ONIISkVaRz50k1rr269BWCXTxUrx5dO-oqRLqlVIktZuYbxHJJH/s72-c/1.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/bakita-watakiwa-kutengeneza-kanzi-data.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/bakita-watakiwa-kutengeneza-kanzi-data.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy