ILANFYA ANA MATUMAINI MAKUBWA KURUDI SIMBA
HomeMichezo

ILANFYA ANA MATUMAINI MAKUBWA KURUDI SIMBA

 MSHAMBULIAJI wa Simba anayekipiga kwa mkopo KMC, Charles Ilanfya, amesema kuwa ana matumaini makubwa ya kufanya vizuri na kumshawishi koc...

SHEFFIELD UNITED YASHUKA DARAJA IKIWA NA MECHI MKONONI ZA LIGI KUU ENGLAND
MOHAMED HUSSEIN WA SIMBA AINGIA ANGA ZA YANGA
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMAPILI

 MSHAMBULIAJI wa Simba anayekipiga kwa mkopo KMC, Charles Ilanfya, amesema kuwa ana matumaini makubwa ya kufanya vizuri na kumshawishi kocha wa Simba, Didier Gomes amrudishe tena ndani ya kikosi hicho.

Ilanfya alipelekwa KMC kwa mkopo wa miezi sita enzi ya utawala wa aliyekuwa kocha wa Simba Mbelgiji, Sven Vandenbroeck katika dirisha dogo la usajili lililofungwa Januari 15.

Hii ni baada ya kuwa na wakati mgumu kupata

nafasi ndani ya kikosi cha Simba mbele ya

mastraika Chris Mugalu, Meddie Kagere na

John Bocco.


Akiwa na kikosi cha Simba, Ilanfya aliichezea

timu hiyo mchezo mmoja tu dhidi ya Tanzania

Prisons uliopigwa Oktoba 22, 2020

ambapo Simba walifungwa bao 1-0.


 Ilanfya amesema: “Niliondoka Simba ikiwa chini ya kocha Sven Vandenbroeck kwa malengo ya kuja KMC na kupata nafasi zaidi ya kucheza na kupandisha kiwango changu.

“Mambo mengi yamebadilika kwa sasa, Simba imepata kocha mpya na wanaonekana kuimarika zaidi, kwangu kama mchezaji hii inanipa hamasa ya kuendelea kupambana, ili kuhakikisha nakuza kiwango changu na kuweza kupata nafasi ya kurejea tena Simba.”





Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: ILANFYA ANA MATUMAINI MAKUBWA KURUDI SIMBA
ILANFYA ANA MATUMAINI MAKUBWA KURUDI SIMBA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhnPKT0tlGZqTyG_uKuHh_GU6FabjGgy26WLqaBTG9hFCqxtY1ikuePusopumLxXvxsQ4mo-pW7c_DMfDZaO4yLiQ-p6V5_o9Yjw-yHA5hjIrBDoiM45GCmfNbbe3fSmQdqOSqZez5yFzbx/w640-h322/Ilanfya.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhnPKT0tlGZqTyG_uKuHh_GU6FabjGgy26WLqaBTG9hFCqxtY1ikuePusopumLxXvxsQ4mo-pW7c_DMfDZaO4yLiQ-p6V5_o9Yjw-yHA5hjIrBDoiM45GCmfNbbe3fSmQdqOSqZez5yFzbx/s72-w640-c-h322/Ilanfya.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/ilanfya-ana-matumaini-makubwa-kurudi.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/ilanfya-ana-matumaini-makubwa-kurudi.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy