MTIBWA SUGAR:TUTACHEZA KAMA FAINALI MECHI ZETU
HomeMichezo

MTIBWA SUGAR:TUTACHEZA KAMA FAINALI MECHI ZETU

 KIUNGO wa Mtibwa Sugar, Baraka Majogoro amesema kuwa watapambana katika mechi zao zilizobaki ili kupata matokeo chanya yatakayowafanya wa...


 KIUNGO wa Mtibwa Sugar, Baraka Majogoro amesema kuwa watapambana katika mechi zao zilizobaki ili kupata matokeo chanya yatakayowafanya wabaki ndani ya ligi hivyo watacheza kama fainali.

Ikiwa imecheza jumla ya mechi 32 imekusanya pointi 38 ipo nafasi ya 11 haina uhakika wa kubaki ndani ya ligi kutokana na pointi walizonazo kuweza kufikiwa na Coastal Union iliyo nafasi ya 17 na pointi zake 34.

Akizungumza na Saleh Jembe, Majogoro amesema kuwa wanatambua nafasi ambayo wapo nayo ni ngumu kuweza kubaki ikiwa hawatashinda hivyo wanachotakiwa ni kupambana.



“Ligi ni ngumu kwa sasa na kwa nafasi ambayo tupo hakuna ambaye anaweza kusema tupo salama. Kikubwa kilichobaki ni kuona kwamba mechi zilizobaki zote tunapambana kama fainali ili kushinda na kila kitu kinawezekana,” amesema Majogoro.

Mechi mbili za Mtibwa Sugar ambazo zimebaki ni Julai 14 dhidi ya Dodoma Jiji yenye pointi 42 na JKT Tanzania yenye pointi 36, Julai 18, zote zinatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Jamhuri, Dodoma.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MTIBWA SUGAR:TUTACHEZA KAMA FAINALI MECHI ZETU
MTIBWA SUGAR:TUTACHEZA KAMA FAINALI MECHI ZETU
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgfIdVwmHS1VlAawyhzPucZRXXPpNjTMNYibK8tUV5gkKROAEYO2YoluPVKkHaYuFsKuBgaqssBFZZf4Sso2-jmUqD7dI6IY4qOYTPEsDpj6XiHbSuciYhvFN9eD7yxxUAhEW9vXaZtCgEK/w640-h426/Mtibwa+Sugar.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgfIdVwmHS1VlAawyhzPucZRXXPpNjTMNYibK8tUV5gkKROAEYO2YoluPVKkHaYuFsKuBgaqssBFZZf4Sso2-jmUqD7dI6IY4qOYTPEsDpj6XiHbSuciYhvFN9eD7yxxUAhEW9vXaZtCgEK/s72-w640-c-h426/Mtibwa+Sugar.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/mtibwa-sugartutacheza-kama-fainali.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/mtibwa-sugartutacheza-kama-fainali.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy