BAADA YA KICHAPO MBELE YA PSG, CITY KWENDA KULA NA KUPUMZIKA
HomeMichezo

BAADA YA KICHAPO MBELE YA PSG, CITY KWENDA KULA NA KUPUMZIKA

PEP Guardiola,  Kocha Mkuu wa Manchester City amesema kuwa kupoteza kwao mchezo wa Ligi ya Mabingwa mbele ya PSG ni moja ya vipindi ambavy...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA ALHAMISI
VIDEO: TAZAMA UFUNDI WA DICKOSN AMBUNDO ANAYEWINDWA NA YANGA
KOCHA SIMBA AWAPELEKA MKUDE NA AJIBU YANGA

PEP Guardiola,  Kocha Mkuu wa Manchester City amesema kuwa kupoteza kwao mchezo wa Ligi ya Mabingwa mbele ya PSG ni moja ya vipindi ambavyo vinatokea kwenye mpira hivyo wanakwenda kula vizuri na kupumzika kwa ajili ya mchezo wao ujao dhidi ya Liverpool.

City ilipoteza kwa kufungwa mabao 2-0 dhidi ya PSG kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya jambo ambalo limewafanya wawe nafasi ya tatu kwenye kundi A na pointi zao ni tatu vinara ni PSG wenye pointi nne wote wakiwa wamecheza mechi mbili.

Guardiola amesema kuwa walicheza kwa mbinu za kusaka ushindi ila kilichotokea ni uimara wa kipa wa PSG, Gianluigi Donnaruma ambaye alifanya kazi kubwa kwenye kuokoa hatari za wachezaji wake.

 "Tulikuwa tunahitaji ushindi na tumecheza namna hiyo ila ni sehemu ya matokeo na huwa inatokea kwenye mpira lakini yule kipa wa PSG Donnaruma alifanya kazi yake kwa kuokoa hatari nyingi.

"Kwa matokeo ambayo yametokea hamna namna tunakwenda kupumzika vizuri, kutafuta chakula na kula vizuri pamoja na kupata muda wa kumpumzika kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wetu dhidi ya Liverpool," amesema.

Oktoba 3, City iliyo nafasi ya pili na pointi zao 13 wakiwa pia ni mabingwa watetezi wa Ligi Kuu England watakutana na Liverpool ambao ni vinara wakiwa na pointi 14 kwenye mchezo wa Ligi Kuu England, Uwanja wa Anfield.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: BAADA YA KICHAPO MBELE YA PSG, CITY KWENDA KULA NA KUPUMZIKA
BAADA YA KICHAPO MBELE YA PSG, CITY KWENDA KULA NA KUPUMZIKA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjtO5xsj9QqcErvY9aqN7P9kwOQOClLEV0cq9clLlIKg1nIhQeEd16dKr8-pJlb4oHrRTE-B6N6r-eHXf3P863dCetB6_OFb9kUH2XnWKBo-8XIpo5RxQFhjEfHoLpBHCljmbNHU0IHpd_y/w640-h360/Pep+kichwa.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjtO5xsj9QqcErvY9aqN7P9kwOQOClLEV0cq9clLlIKg1nIhQeEd16dKr8-pJlb4oHrRTE-B6N6r-eHXf3P863dCetB6_OFb9kUH2XnWKBo-8XIpo5RxQFhjEfHoLpBHCljmbNHU0IHpd_y/s72-w640-c-h360/Pep+kichwa.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/baada-ya-kichapo-mbele-ya-psg-city.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/09/baada-ya-kichapo-mbele-ya-psg-city.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy