JEMBE JIPYA YANGA LINAWAZA MAKOMBE TU
HomeMichezo

JEMBE JIPYA YANGA LINAWAZA MAKOMBE TU

 INGIZO jipya la Yanga limeweka wazi kwamba limekuja kujiunga na kikosi hicho ili kubeba mataji mengi kwa msimu wa 2021/22. Ni Bangala L...

 INGIZO jipya la Yanga limeweka wazi kwamba limekuja kujiunga na kikosi hicho ili kubeba mataji mengi kwa msimu wa 2021/22.



Ni Bangala Litombo ambaye ni beki na inaelezwa kuwa dili ambalo amesaini ndani ya Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi ni miaka miwili.


Nyota huyo ambaye ni beki tayari ameshatambulishwa kwa Wananchi na ujumbe ambao walipewa ulikuwa ni kwamba sasa ni rasmi Bangala ni njano na kijani.


Beki huyo amesema: "Najua Yanga ni timu kubwa jambo ambalo lilifanga nikakubali kusaini hivyo uamuzi wangu upo sahihi na nipo mahali sahihi.


"Kikubwa ambacho nahitaji kuona ni kwamba timu inapata matokea na kuweza kufikia mafanikio ambayo ni kutwaa makombe.


"Timu kubwa inatwaa makombe ipo hivyo kwa Yanga hivyo tutapambana kufikia malengo,".



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: JEMBE JIPYA YANGA LINAWAZA MAKOMBE TU
JEMBE JIPYA YANGA LINAWAZA MAKOMBE TU
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgmal5gzw-nIH5jFqjQsnqGRhGpYk0NJQOBeTxHx7dWdU_TldY5C35W-NuEoNUnGkUiL5x3BozCGt65mF1Y1gTEqFjQGplrYhqq_k3fX-HexES6zdPW1BuwNKNXOzq1z5iDJdJ366JTYQTG/w638-h640/Screenshot_20210823-081931_Instagram.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgmal5gzw-nIH5jFqjQsnqGRhGpYk0NJQOBeTxHx7dWdU_TldY5C35W-NuEoNUnGkUiL5x3BozCGt65mF1Y1gTEqFjQGplrYhqq_k3fX-HexES6zdPW1BuwNKNXOzq1z5iDJdJ366JTYQTG/s72-w638-c-h640/Screenshot_20210823-081931_Instagram.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/jembe-jipya-yanga-linawaza-makombe-tu.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/jembe-jipya-yanga-linawaza-makombe-tu.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy