WAARABU WA SIMBA WALIA NA JOTO LA DAR
HomeMichezo

WAARABU WA SIMBA WALIA NA JOTO LA DAR

WAPINZANI wa Simba kwenye mechi yao ya kimataifa inayotarajiwa kuchezwa kesho, Uwanja wa Mkapa Al Ahly, Waarabu wa Misri wamesema kuwa lic...

VIDEO:TAMBO ZA MZEE WA MAJENEZA, AZUNGUMZIA ISHU YA HAJI MANARA
SIMULIZI YA MUME ALIYEKUWA AKIPIGWA NA MKEWE KILA WAKATI
REAL MADRID WABISHI, WAWEKA MKWANJA WA MAANA KUIPATA SAINI YA MBAPPE

WAPINZANI wa Simba kwenye mechi yao ya kimataifa inayotarajiwa kuchezwa kesho, Uwanja wa Mkapa Al Ahly, Waarabu wa Misri wamesema kuwa licha ya joto la Dar kuwa kubwa halitawafanya washindwe kusaka ushindi.

Al Ahly ya Misri ina kibarua cha kusaka ushindi kesho Februari 23 mbele ya Simba kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi.

Inakumbuka kwamba iliwahi kupoteza kwa kufungwa bao 1-0 ilipocheza na Simba msimu wa 2018, Februari 2019 jambo ambalo linawafanya wawe na tahadhari kubwa licha ya uwekezaji wao mkubwa katika kikosi chao.

Kocha Mkuu wa Al Ahly ya Pitso Mosimame amesema kuwa watapambana kupata matokeo chanya licha ya wapinzani wao kuwa vizuri pamoja na mazingira ya joto la Dar.


"Kwenye mpira jambo ni moja kusaka ushindi ndani ya uwanja, vijana wangu ninatambua wanahitaji ushindi na hilo linawezekana ndani ya uwanja.

"Watakuwa nyumbani hilo lipo wazi ila nasi pia tuna kazi moja ya kusaka ushindi ndani ya uwanja hakuna namna tupo tayari, licha ya kwamba joto ni kali".




Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: WAARABU WA SIMBA WALIA NA JOTO LA DAR
WAARABU WA SIMBA WALIA NA JOTO LA DAR
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi_6FC30DP5pY1s3ZzY4QIwobtkVqRX9ZYJFxNv_uBr5bgmBWFXdZcAETXz7E08mKZivSfFg28gU0KNK87RZ1-sOGo4M3UtaUeTqLSygyy5k6jrfG3PMSkdujfbHGy7wqbRolNXtveHvZ7P/w604-h640/Joto+tena.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi_6FC30DP5pY1s3ZzY4QIwobtkVqRX9ZYJFxNv_uBr5bgmBWFXdZcAETXz7E08mKZivSfFg28gU0KNK87RZ1-sOGo4M3UtaUeTqLSygyy5k6jrfG3PMSkdujfbHGy7wqbRolNXtveHvZ7P/s72-w604-c-h640/Joto+tena.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/waarabu-wa-simba-walia-na-joto-la-dar.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/waarabu-wa-simba-walia-na-joto-la-dar.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy