KIPA YANGA AMKINGIA KIFUA SARPONG, ATAJA KINACHOMFANYA ASIFUNGE
HomeMichezo

KIPA YANGA AMKINGIA KIFUA SARPONG, ATAJA KINACHOMFANYA ASIFUNGE

KIPA namba mbili wa kikosi cha Yanga, Faroukh Shikhalo amesema kuwa anaamini mshambulijai wao Michael Sarpong ana uwezo mkubwa ambao unahi...


KIPA namba mbili wa kikosi cha Yanga, Faroukh Shikhalo amesema kuwa anaamini mshambulijai wao Michael Sarpong ana uwezo mkubwa ambao unahitaji muda kuonekana ndani ya uwanja.

Sarpong ambaye ni ingizo jipya ndani ya Yanga yeye ni raia wa Ghana aliibuka kwenye kikosi hicho kinachonolewa na Cedrick Kaze kwa dili la miaka miwili akitokea Klabu ya Rayon Sports ya Rwanda.

Ndani ya Yanga ambayo inaongoza ligi ikiwa na pointi 49 kibindoni baada ya kucheza mechi 21 na imetupia jumla ya mabao 34. Amehusika kwenye mabao sita, amefunga mabao manne, pasi moja ya bao na amesababisha penalti moja.

Idadi hiyo ni sawa na yale mabao ambayo amefunga nahodha wa timu hiyo Lamine Moro huku msaidizi wake Bakari Mwamnyeto akiwa ametupia bao moja.

Shikhalo amesema:"Akiwa kwenye mazoezi anafanya vizuri na anapata nafasi ya kufunga hivyo kinachomkuta ndani ya uwanja ni presha ya kufunga jambo ambao linamfanya ashindwe kuonyesha uwezo wake.

"Ni suala la muda kwamba atakuwa sawa na siku ambayo atafunga itakuwa furaha kwake na timu kiujumla,". 

Machi 4 kikosi cha Yanga kina kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Coastal Union, Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.


Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: KIPA YANGA AMKINGIA KIFUA SARPONG, ATAJA KINACHOMFANYA ASIFUNGE
KIPA YANGA AMKINGIA KIFUA SARPONG, ATAJA KINACHOMFANYA ASIFUNGE
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi3C6f9_uPMorOjee2OWtaFX-tYEENlDN4nWEsoMIlsaOVKDg2xgSzZ3Rmsy-nRpvz1p0fJFe9odeSZM1K8NJ6nfk5DJhcx5gvV3Vj-mxo1p7u2cXEX7fV5ww1d5HqXoDM1GDJMSeyDZbdf/w640-h562/Sarpong+Jamhuri.PNG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi3C6f9_uPMorOjee2OWtaFX-tYEENlDN4nWEsoMIlsaOVKDg2xgSzZ3Rmsy-nRpvz1p0fJFe9odeSZM1K8NJ6nfk5DJhcx5gvV3Vj-mxo1p7u2cXEX7fV5ww1d5HqXoDM1GDJMSeyDZbdf/s72-w640-c-h562/Sarpong+Jamhuri.PNG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/kipa-yanga-amkingia-kifua-sarpong-ataja.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/kipa-yanga-amkingia-kifua-sarpong-ataja.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy