MERIDIAN BET YADHAMINI MAFUNZO YA LISHE BORA DAR
HomeMichezo

MERIDIAN BET YADHAMINI MAFUNZO YA LISHE BORA DAR

Kampuni ya kubashiri matokeo ya Meridian Bet imepanua wigo katika kusaidia jamii na jana imesaidia kufanikisha mafunzo ya lishe kwa wakazi...




Kampuni ya kubashiri matokeo ya Meridian Bet imepanua wigo katika kusaidia jamii na jana imesaidia kufanikisha mafunzo ya lishe kwa wakazi wa Mbezi Juu, Dar es Salaam.


Meridian Bet ambayo mbali na kuwa kampuni ya michezo ya kubashiriki matokeo imekuwa ikijitoa kusaidia jamii yenye uhitaji katika nyanja tofauti.

Akizungumza wakati wa mafunzo hayo yaliyoongozwa na Afisa Lishe wa manispaa ya Kinondoni, Janeth Mzava na diwani wa Mbezi Juu, Anna Lukindo, Meneja Ustawi wa Meridian Bet, Amani Maeda alisema wamesaidia mafunzo hayo ili jamii ipate kuelewa umuhimu wa lishe bora.



"Lishe ni muhimu sana katika maisha yetu, unapokula mlo kamili hata kupata magonjwa ni kwa kiasi kidogo, mfano sasa dunia ina tunachangamoto ya corona.

"Hivyo tunapokula lishe bora kwa kuzingatia misingi ya mlo kamili, miili yetu inakuwa imara," alisema Amani.

Alisema kampuni ya Meridian Bet haikusta kusaidia mafunzo hayo ambayo yamekuwa na mtizamo chanya kwa jamii ya eneo la Mbezi Juu.



Diwani wa eneo hilo, Anna Lukindo aliishukuru Meridian Bet kwa msaada huo na kueleza kwamba mafunzo hayo yamewasaidia kina mama wengi na hata baadhi ya kina baba wa eneo hilo.

"Wamejifunza mlo kamili unapaswa uweje? njia ya kumhudumia mtoto katika siku 1000 za mwanzo, lishe kwa mtu anayetakiwa kupunguza uzito na mambo mbalimbali ya afya," alisema.

Mmoja wa wakazi wa eneo hilo aliyejitambulisha kwa jina la Stumai Rajabu alisema mafunzo hayo yamemfundisha umuhimu wa lishe bora.


"Mwanzo mwanangu nilikuwa nampa ugali na mchuzi na maji, lakini baada ya mafunzo nimeelimika kwamba ili mtoto akue vizuri anahitaji mchanganyiko wa makundi yote matano ya vyakula, nitaanza kuzingatia hilo," alisema.





Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MERIDIAN BET YADHAMINI MAFUNZO YA LISHE BORA DAR
MERIDIAN BET YADHAMINI MAFUNZO YA LISHE BORA DAR
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiHz4a8RK3BHup6MLc6_o0qpLQXjoQOmhrMIZfC2KBwRIRnTldh_EFw9VQBG-Y2GZ7R7Pn2HJ9j92rtEleVjHtILNIF5ZSLPfrClmDNRxogshYMnIWfU2aF_ItXpsJ7ttZ4BZ5sQ34xaovc/w640-h426/WhatsApp+Image+2021-02-21+at+16.42.48.jpeg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiHz4a8RK3BHup6MLc6_o0qpLQXjoQOmhrMIZfC2KBwRIRnTldh_EFw9VQBG-Y2GZ7R7Pn2HJ9j92rtEleVjHtILNIF5ZSLPfrClmDNRxogshYMnIWfU2aF_ItXpsJ7ttZ4BZ5sQ34xaovc/s72-w640-c-h426/WhatsApp+Image+2021-02-21+at+16.42.48.jpeg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/meridian-bet-yadhamini-mafunzo-ya-lishe.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/meridian-bet-yadhamini-mafunzo-ya-lishe.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy