YANGA:COASTAL UNION WATATUKAMIA NDANI YA MKWAKWANI
HomeMichezo

YANGA:COASTAL UNION WATATUKAMIA NDANI YA MKWAKWANI

 KOCHA Mkuu wa Yanga, Cedric Kaze amesema kuwa anaamini wapinzani wao Coastal Union watawakamia ndani ya Uwanja wa Mkwakwani ili kupata ma...

GOMES AMPA MBINU AME KUPENYA KIKOSI CHA KWANZA MBELE YA ONYANGO
NAMUNGO FC KAMILI GADO KUWAVAA NKANA LEO KWA MKAPA
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMAPILI

 KOCHA Mkuu wa Yanga, Cedric Kaze amesema kuwa anaamini wapinzani wao Coastal Union watawakamia ndani ya Uwanja wa Mkwakwani ili kupata matokeo.

Machi 4, Coastal Union inayonolewa na Juma Mgnda itawakaribisha Yanga kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Uwanja wa Mkwakwani.

Kwenye mchezo wa mzunguko wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Mkapa, Yanga ilishinda mabao 3-0.

Yanga ipo nafasi ya kwanza ikiwa na pointi 49 inakutana na Coastal Union iliyo nafasi ya 13 na pointi zake kibindoni ni 23.

Kaze amesema:"Tunajua kwamba utakuwa mchezo mgumu na wapinzani wetu watatukamia ili kupata matokeo chanya hivyo nasi pia tutapambana kufanya vizuri.

"Tunachohitaji ni ushindi hilo lipo wazi na kila mchezaji anatambua kwamba tunahitaji ushindi, kikubwa ni kupata pointi tatu ndani ya uwanja," amesema.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: YANGA:COASTAL UNION WATATUKAMIA NDANI YA MKWAKWANI
YANGA:COASTAL UNION WATATUKAMIA NDANI YA MKWAKWANI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjgmS-4S8LSpz_7LPsSVHillwv_GdBZUHrjUNBoFMkWoN8U2khyphenhyphenLj_M988v68rtEjjmtYcuuyHPklvlDUlzcOqyoJlR5cfdVEuku14oDvqC1qZ-GdRadefPqRllMHSRoKjR0d9KiHp6mQ9N/w640-h518/Kaze+na+wana.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjgmS-4S8LSpz_7LPsSVHillwv_GdBZUHrjUNBoFMkWoN8U2khyphenhyphenLj_M988v68rtEjjmtYcuuyHPklvlDUlzcOqyoJlR5cfdVEuku14oDvqC1qZ-GdRadefPqRllMHSRoKjR0d9KiHp6mQ9N/s72-w640-c-h518/Kaze+na+wana.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/yangacoastal-union-watatukamia-ndani-ya.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/yangacoastal-union-watatukamia-ndani-ya.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy