BIASHARA united wanajiita Wanajeshi wa Mpakani wana kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Al Ahly Tripo...
BIASHARA united wanajiita Wanajeshi wa Mpakani wana kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Al Ahly Tripol ya Libya unaotarajiwa kuchezwa kesho, Oktoba 15 Uwanja wa Mkapa.
Wachezaji hao wameendelea kuwavutia kasi wapinzani wao kwa kufanya mazoezi Uwanja wa Mkapa.Miongoni mwa nyota hao ni pamoja na Duchu,Redondo,James Ssetuba ambao wapo Dar kwa ajili ya maandalizi ya mchezo huo.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS