SABABU YA DITRAM NCHIMBI KUTOFUNGA HII HAPA
HomeMichezo

SABABU YA DITRAM NCHIMBI KUTOFUNGA HII HAPA

 MSHAMBULIAJI wa Yanga, Ditram Nchimbi amesema kuwa sababu ya kushindwa kufunga ndani ya kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, Cedric ...


 MSHAMBULIAJI wa Yanga, Ditram Nchimbi amesema kuwa sababu ya kushindwa kufunga ndani ya kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, Cedric Kaze ni presha pamoja na ukubwa wa timu hiyo.

Msimu huu wa 2020/21 ndani ya Yanga nyota huyo hajafunga bao huku timu yake ikiwa imefunga jumla ya mabao 34 ndani ya Ligi Kuu Bara.

Yeye amehusika kwenye mabao mawili ambapo alitengeneza pasi za mabao kwa Michael Sarpong wakati wakishinda bao 1-0 dhidi ya Biashara United na Mukoko Tonombe wakati Yanga ikilazimisha sare ya kufungana mabao 3-3.

Msimu huu amecheza mechi 16 na msimu uliopita alipoibuka ndani ya Yanga akitokea Polisi Tanzania alicheza jumla ya mechi 11 na alimaliza akiwa na mabao sita, mawili ilikuwa ni ndani ya Yanga na manne alifunga alipokuwa Polisi Tanzania.

Nchimbi amesema:"Presha ndani ya timu pamoja na ushindani ni sababu inayonifanya nishindwe kufunga ila pia sikumbuki mara ya mwisho kufunga ilikuwa lini,".

Yanga ipo nafasi ya kwanza kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara imecheza mechi 21 na imekusanya pointi 49.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: SABABU YA DITRAM NCHIMBI KUTOFUNGA HII HAPA
SABABU YA DITRAM NCHIMBI KUTOFUNGA HII HAPA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgyL6Q_8wsCq08noUJUMqRPE6HbclfkOLQnV5EYz_NVkYNGIlDlMIwZzMF_xaQj0NurqOwNWgbtzrH3CTDo324YfMIMyGxb0vw253GFYPp4bKXfYUnpL7RJy_E2uHHr72LlRVsOZEwwMPWK/w476-h640/duma.PNG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgyL6Q_8wsCq08noUJUMqRPE6HbclfkOLQnV5EYz_NVkYNGIlDlMIwZzMF_xaQj0NurqOwNWgbtzrH3CTDo324YfMIMyGxb0vw253GFYPp4bKXfYUnpL7RJy_E2uHHr72LlRVsOZEwwMPWK/s72-w476-c-h640/duma.PNG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/sababu-ya-ditram-nchimbi-kutofunga-hii.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/sababu-ya-ditram-nchimbi-kutofunga-hii.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy