ALIYEKUWA akidai kuwa ni baba mzazi wa mchezaji wa Simba, Meddie Kagere, ametangulia mbele za haki. Baba huyo alikuwa anadai kwamba Kagere n...
ALIYEKUWA akidai kuwa ni baba mzazi wa mchezaji wa Simba, Meddie Kagere, ametangulia mbele za haki. Baba huyo alikuwa anadai kwamba Kagere ni mwanaye lakini hakupata bahati ya kuonana naye.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Kwa mujibu wa meneja wake amesema kuwa alikuja Bongo akitokea Bukoba kwa lengo la kuonana na Kagere.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS