TOTTENHAM WAJIPANGA KUMPATA MRITHI WA HUGO
HomeMichezo

TOTTENHAM WAJIPANGA KUMPATA MRITHI WA HUGO

IMERIPOTIWA kuwa Klabu ya Tottenham inampigia hesabu kipa wa Manchester United, Dean Henderson ili kurithi mikoba ya kipa wao Hugo LIOris...



IMERIPOTIWA kuwa Klabu ya Tottenham inampigia hesabu kipa wa Manchester United, Dean Henderson ili kurithi mikoba ya kipa wao Hugo LIOris.

Sababu kubwa za timu hiyo inayoshiriki Ligi Kuu England kuwa kwenye hesabu za kumpata kipa mpya ni kwamba kipa wao ana mpango wa kuondoka England na anahitaji kwenda kucheza nyumbai kwao nchini Ufaransa.

Mkataba wake ndani ya kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, Jose Mourinho unakaribia kufika ukingoni msimu huu jambo ambalo linaongeza nguvu kwa Tottenham kusaka mbadala wake.

Henderson mwenye miaka 24 anatengenezwa ndani ya United kuwa mrithi wa David de Gea ambaye amepewa chaguo la kufanya maamuzi anayotaka ndani ya timu hiyo kwa kile ambacho kimeelezwa kuwa ni kumpa heshima ya utumishi wake ndani ya kikosi hicho kwani naye anahitaji kuondoka pia.

LIoris alijiunga na timu ya Tottenham msimu wa 2012 na amecheza jumla ya mechi 363 mkataba wake unameguka msimu huu.




Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: TOTTENHAM WAJIPANGA KUMPATA MRITHI WA HUGO
TOTTENHAM WAJIPANGA KUMPATA MRITHI WA HUGO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhiMFcPBycMLU68gl9ne1cH38midjmSML1pQupk_q0lGnAxeRa38oYoHAG7q4Tdp627p8NeEJVQRdIhVLWfEwP0syYwGzZQPu157If0_DeZiAXPS97qWcCWRQQCS2pvFvgXIICC_90MtSCo/w640-h438/Hugo+kusepa.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhiMFcPBycMLU68gl9ne1cH38midjmSML1pQupk_q0lGnAxeRa38oYoHAG7q4Tdp627p8NeEJVQRdIhVLWfEwP0syYwGzZQPu157If0_DeZiAXPS97qWcCWRQQCS2pvFvgXIICC_90MtSCo/s72-w640-c-h438/Hugo+kusepa.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/tottenham-wajipanga-kumpata-mrithi-wa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/tottenham-wajipanga-kumpata-mrithi-wa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy