LEO NI ARUSHA FC V NDANDA, MKWARA WATEMBEA
HomeMichezo

LEO NI ARUSHA FC V NDANDA, MKWARA WATEMBEA

 UONGOZI wa Arusha FC umeweka wazi kwamba unawaheshimu wapinzani wao Ndanda FC ila utaingia kwa hesabu za kupata ushindi ili kubaki ndani ...

MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA SPOTI XTRA JUMANNE
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMANNE
KIKOSI CHA YANGA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA SIMBA

 UONGOZI wa Arusha FC umeweka wazi kwamba unawaheshimu wapinzani wao Ndanda FC ila utaingia kwa hesabu za kupata ushindi ili kubaki ndani ya Ligi Daraja la Kwanza.

Mchezo wa leo ni playoff ya kusaka kubaki ndani ya Ligi Daraja la Kwanza na yule ambaye atapoteza katika matokeo ya jumla atashuka mpaka Ligi Daraja la Pili.


Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari wa Arusha FC, Yasinta Amos amesema kuwa wachezaji wapo vizuri kwa ajili ya mchezo wao wa leo dhidi ya Ndanda FC.


“Maandalizi yapo vizuri na kwa mujibu wa ripoti inaonyeshwa kwamba hakuna majeruhi hivyo kikosi kipo imara na ari ni kubwa kwa vijana. Tunaamini kwamba mchezo wetu utakuwa na ushindani mkubwa.


“Tunawaheshimu Ndanda ila nasi tunahitaji ushindi ili kuona kwamba tunakuwa na mwelekeo mzuri kwa kubaki ndani ya Ligi Daraja la Kwanza, tupo vizuri na tunahitaji ushindi.

"Mashabiki wajitokeze kwa wingi kutupa sapoti kwani kila kitu kipo sawa na tunaamini kwamba tutapata matokeo,".


Arusha itaanza  kumenyana na Ndanda FC, Mei 22 Uwanja wa Sheikh Amri Abeid na ule wa marudio utakuwa ni Uwanja wa Nangwanda, Mei 29.


 



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: LEO NI ARUSHA FC V NDANDA, MKWARA WATEMBEA
LEO NI ARUSHA FC V NDANDA, MKWARA WATEMBEA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgdAfjrLHXpCFqVxuVV5IJp8flTxXiAZ0CLYJZ7EAS0SvMY_wFsjHZj8Qrso5EcvsuRreAQYa1WckU1rpmXJcld12FLWlgOYss8Mb59pfVZtEQJoHmCUDPodAL_ouYb3AsIfWZmRmIHJHMy/w640-h360/arushafootballclub-187584958_161151412682641_5509814192784056503_n.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgdAfjrLHXpCFqVxuVV5IJp8flTxXiAZ0CLYJZ7EAS0SvMY_wFsjHZj8Qrso5EcvsuRreAQYa1WckU1rpmXJcld12FLWlgOYss8Mb59pfVZtEQJoHmCUDPodAL_ouYb3AsIfWZmRmIHJHMy/s72-w640-c-h360/arushafootballclub-187584958_161151412682641_5509814192784056503_n.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/leo-ni-arusha-fc-v-ndanda-mkwara.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/leo-ni-arusha-fc-v-ndanda-mkwara.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy