MAKOCHA 15 WAJITOKEZA KUOMBA KAZI BIASHARA UNITED
HomeMichezo

MAKOCHA 15 WAJITOKEZA KUOMBA KAZI BIASHARA UNITED

 UONGOZI wa Biashara United umeweka wazi kuwa umepokea majina zaidi ya 15 ya makocha ambao wanaomba kazi ya kukinoa kikosi hicho chenye ma...


 UONGOZI wa Biashara United umeweka wazi kuwa umepokea majina zaidi ya 15 ya makocha ambao wanaomba kazi ya kukinoa kikosi hicho chenye maskani yake Mara.

Kwa sasa Biashara United ipo mikononi mwa Marocha Mbili ambaye ni Kaimu Kocha Mkuu wa muda mpaka pale atakapopatikana kocha mpya.

Aliyekuwa kocha wa Biashara United, Francis Baraza aesepa ndani ya timu hiyo na kuibukia ndani ya Kagera Sugar akichukua mikoba ya Mecky Maxime ambaye alifutwa kazi kutokana na mwendo mbovu wa timu hiyo.

Mwenyekiti wa Biashara United, Seleman Mataso amesema kuwa mchakato wa kumsaka kocha mpya unaendelea na wapo ambao wametuma maombi kukinoa kikosi chetu.

"Kuna majina ya makocha zaidi ya 10 ambao wameomba kazi kukinoa kikosi chetu hivyo mchakato unaendelea hivyo muhimu kwetu kwa sasa ni kuangalia wale ambao watakidhi vigezo vya kuinoa timu yetu.

"Ushindani ni mkubwa hilo lipo wazi lakini nasi pia tutaonyesha ushindani ili kupata matokeo bora," .



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MAKOCHA 15 WAJITOKEZA KUOMBA KAZI BIASHARA UNITED
MAKOCHA 15 WAJITOKEZA KUOMBA KAZI BIASHARA UNITED
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgZ_Oe8r5xv4od7kMZ9_fXfJqJ85_lwypM09dEuDXw-ENAY1l6VAiG2qqHJ4lhzZAh6bEkVlHLBhWhqHXfCjSlnpIBCk6xO_d13RDIg5u7BNNWKxHgrxbpVoObL3fLjR-3Zt8hI7gy2GOge/w640-h432/Baraza+na+mwana.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgZ_Oe8r5xv4od7kMZ9_fXfJqJ85_lwypM09dEuDXw-ENAY1l6VAiG2qqHJ4lhzZAh6bEkVlHLBhWhqHXfCjSlnpIBCk6xO_d13RDIg5u7BNNWKxHgrxbpVoObL3fLjR-3Zt8hI7gy2GOge/s72-w640-c-h432/Baraza+na+mwana.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/makocha-15-wajitokeza-kuomba-kazi.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/makocha-15-wajitokeza-kuomba-kazi.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy