YANGA PRINCESS YAUPIGIA HESABU UBINGWA WA SIMBA QUEENS
HomeMichezo

YANGA PRINCESS YAUPIGIA HESABU UBINGWA WA SIMBA QUEENS

  KOCHA Mkuu wa Klabu ya Yanga Princess, Edna Lema amefunguka kuwa, mpaka sasa bado hakuna uhakika wa bingwa wa Ligi Kuu ya Wanawake, lich...


 KOCHA Mkuu wa Klabu ya Yanga Princess, Edna Lema amefunguka kuwa, mpaka sasa bado hakuna uhakika wa bingwa wa Ligi Kuu ya Wanawake, licha ya tofauti ya pointi moja Simba Queens.

 

Yanga Princess walipoteza uongozi wa ligi baada ya kukubali kipigo cha mabao 3-0 kutoka kwa Simba, mchezo uliopigwa kwenye Uwanja wa Uhuru mkoani Dar es Salaam.

 

Simba inaongoza msimamo ikiwa na pointi 39, huku Yanga Princess wao wakiwa katika nafasi ya pili na pointi zao 38 baada ya wote kucheza mechi 15 


 Edna amesema:“Bado kikosi changu kina matumaini makubwa ya kufanya vizuri msimu huu na ikiwezekana kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Wanawake licha ya kwamba tuko nyuma kwa pointi na viongozi wa msimamo Simba Queens.

 

“Pointi moja kwenye soka ni ndogo sana na lolote linaweza kutokea hivyo kila mtu acheze na kushinda mechi zake, kuhusu bingwa tutamjua mwishoni.


"Bado tuna nafasi ya kufanya vizuri na kutimiza lengo letu la kutwaa ubingwa hivyo mashabiki wazidi kutupa sapoti matumaini yapo na inawezekana," .


Bingwa mtetezi wa taji hilo kwa sasa ni kinara Simba Queens ambaye alitwaa taji hilo msimu uliopita.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: YANGA PRINCESS YAUPIGIA HESABU UBINGWA WA SIMBA QUEENS
YANGA PRINCESS YAUPIGIA HESABU UBINGWA WA SIMBA QUEENS
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjRHleCCqY-_z05FuePcm3ra5o4tZLvHwIQ_N4Zc36toYDpPZPHFMMSPN0Z1CVjz5V7lhbNnenkCS7krd_0pUTPxtux0nnVnxB5Gl9exMSBTfttK0sASZsJndEK3ereBr21hMunnIjJVjSe/w640-h488/Simba+Queens+v+Yanga.PNG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjRHleCCqY-_z05FuePcm3ra5o4tZLvHwIQ_N4Zc36toYDpPZPHFMMSPN0Z1CVjz5V7lhbNnenkCS7krd_0pUTPxtux0nnVnxB5Gl9exMSBTfttK0sASZsJndEK3ereBr21hMunnIjJVjSe/s72-w640-c-h488/Simba+Queens+v+Yanga.PNG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/yanga-princess-yaupigia-hesabu-ubingwa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/yanga-princess-yaupigia-hesabu-ubingwa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy