RONALDO NI MTAMBO WA MABA0
HomeMichezo

RONALDO NI MTAMBO WA MABA0

 CRISTIANO Ronaldo ndani ya Klabu amecheza jumla ya mechi 894 na ametupia mabao 674 akiwa  ametengeneza jumla ya pasi 108. Ndani ya La Lig...

MASHINE YA KAZI NDANI YA YANGA KUTUA KUTOKA GHANA
MBEYA CITY WATAMBA KUFANYA KWELI
KAGERA SUGAR:MZUNGUKO WA PILI NI MWENDO WA BURUDANI


 CRISTIANO Ronaldo ndani ya Klabu amecheza jumla ya mechi 894 na ametupia mabao 674 akiwa  ametengeneza jumla ya pasi 108.

Ndani ya La Liga rekodi zinaonyesha kwamba amecheza mechi nyingi ambazo ni 292 na alitupia jumla ya mabao 311 na pasi 96 akiwa na wastani wa kufunga bao moja kila baada ya dk 81.


Mtambo huo wa mabao katika Ligi Kuu England alicheza jumla ya mechi 196 na alitupia mabao 84 na pasi za mwisho alitoa 45 ambapo alikuwa na wastani wa kufunga kila baada ya dk 173.


Raia huyo wa Ureno mwenye miaka 36 kwa sasa anakipiga ndani ya Juventus inayoshiriki Serie A mkataba wake unatarajiwa kumeguka Juni 30,2022.


Ndani ya Serie A amecheza jumla ya mechi 97 alitupia mabao 81 na pasi za mwisho ni 17 akiwa na wastani wa kufunga bao kila baada ya dk 104.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: RONALDO NI MTAMBO WA MABA0
RONALDO NI MTAMBO WA MABA0
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg6szaac8MrJh5wapqq53v8-deR1Avd5NzcrfaERyFWKQjs4AoUtVE8VFar6JbY5Ny_q8OjQClYwMwkfuGbZeZd4EKInwqdbL_AFrjepf_fSCx7vpDM1zm3sRnhSFIPIORaCDTRBonajFFd/w640-h450/Screenshot_20210711-135359_Instagram.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg6szaac8MrJh5wapqq53v8-deR1Avd5NzcrfaERyFWKQjs4AoUtVE8VFar6JbY5Ny_q8OjQClYwMwkfuGbZeZd4EKInwqdbL_AFrjepf_fSCx7vpDM1zm3sRnhSFIPIORaCDTRBonajFFd/s72-w640-c-h450/Screenshot_20210711-135359_Instagram.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/ronaldo-ni-mtambo-wa-maba0.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/ronaldo-ni-mtambo-wa-maba0.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy