MAJEMBE MATATU YA KAZI YANGA KUANZA KAZI
HomeMichezo

MAJEMBE MATATU YA KAZI YANGA KUANZA KAZI

 UONGOZI wa Yanga umebainisha kuwa tayari wachezaji wake wote watatu ambao walikuwa na matatizo ya kinidhamu wamekubali makosa yao na kuom...

MAN CITY KUCHEZA NA ARSENAL JUMAPILI HII, KITAWAKA
SIMBA WAFICHUA MBINU YA KUWAMALIZA WAARABU KWA MKAPA
SAKATA LA MORRISON LAIBUKA UPYA, YANGA WADAI WANAONEWA

 UONGOZI wa Yanga umebainisha kuwa tayari wachezaji wake wote watatu ambao walikuwa na matatizo ya kinidhamu wamekubali makosa yao na kuomba msamaha hivyo watarejeshwa kwenye mazoezi.

Nyota hao ni pamoja na beki Lamine Moro, mshambuliaji Michael Sarpong ambao wote kwa pamoja wametupia mabao manne ndani ya ligi kwa kila mmoja.

Ni Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi aliwatimua kutokana na makosa yao ambapo tayari kwa sasa raia hao wa Ghana wamerejeshwa kikosini.

Kwa upande wa nyota mwingine ni mzawa, Metacha Mnata ambaye alionyesha ishara za matusi kwa mashabiki wake baada ya mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Ruvu Shooting v Yanga.

Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Yanga, Mshindo Msolla amesema kuwa wachezaji hao wamerejeshwa kikosini baada ya kukiri kufanya utovu wa nidhamu.


"Moro na Sarpong wataingia rasmi kambini baada ya mchezo wetu dhidi ya Ihefu ambao ni wa ligi hivyo wataanza kuwa pamoja nasi kwenye maandalizi ya kuelekea mchezo wa Kombe la Shirikisho tutakaocheza dhidi ya Simba," .

Pia Mnata tayari amerejeshwa kambini kwa ajili ya maandalizi ya mechi zijazo kwa kuwa alikuwa amesimamishwa kwa muda usiojulikana. 



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MAJEMBE MATATU YA KAZI YANGA KUANZA KAZI
MAJEMBE MATATU YA KAZI YANGA KUANZA KAZI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiGReM1ZicWiIR5_cAUj169JAs8hlw4eJH-KjzrDVAm4R3JM3g2DuG5opWTEOvukUb-bXLiy3VnQCPf9N78AzWgJ02WEV8UXsMvYsHdHylHpMIyjHZkQEWBsS8HAbP5uOT7gXqBPZVuxtl3/w640-h474/Lamine.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiGReM1ZicWiIR5_cAUj169JAs8hlw4eJH-KjzrDVAm4R3JM3g2DuG5opWTEOvukUb-bXLiy3VnQCPf9N78AzWgJ02WEV8UXsMvYsHdHylHpMIyjHZkQEWBsS8HAbP5uOT7gXqBPZVuxtl3/s72-w640-c-h474/Lamine.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/majembe-matatu-ya-kazi-yanga-kuanza-kazi.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/majembe-matatu-ya-kazi-yanga-kuanza-kazi.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy