KOCHA Mkuu wa Simba, Queens amesema kuwa wanatambua kwamba msimu ujao utakuwa na ushindani mkubwa tofauti na ilivyokuwa msimu huu ambao timu...
KOCHA Mkuu wa Simba, Queens amesema kuwa wanatambua kwamba msimu ujao utakuwa na ushindani mkubwa tofauti na ilivyokuwa msimu huu ambao timu hiyo imetwaa taji la Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania. Pia mchezaji Oppa Clement amesema kuwa shukrani zao ni kwa mashabiki pamoja na viongozi.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS