MAKUSU ATAJWA KUINGIA ANGA ZA SIMBA
HomeMichezo

MAKUSU ATAJWA KUINGIA ANGA ZA SIMBA

 MAKUSU atajwa kuibukia Simba IMEELEZWA kuwa Jean Marc Makusu Mundele yupo kwenye rada za mabingwa mara nne mfululizo ndani ya Ligi Kuu Ba...

SIMBA V YANGA SEPTEMBA 25, HAKUNA NAMNA, TIMU ZOTE KAMILI GADO
BAADA YA KAMBI YA YANGA KUYEYUKA, NGUVU IMEELEKEZWA HUKU,SABABU ZATAJWA
SIMULIZI YA MWANAMKE ALIYEPATA KASHFA KUTOKA KWA MAMA MKWE

 MAKUSU atajwa kuibukia Simba


IMEELEZWA kuwa Jean Marc Makusu Mundele yupo kwenye rada za mabingwa mara nne mfululizo ndani ya Ligi Kuu Bara ambao ni Simba.


Nyota huyo ambaye ni mshambuliaji ni mali ya AS Vita ya Congo na alikuwa akikipiga ndani ya Klabu ya Orlando Pirates ya Afrika Kusini kwa mkopo.



Nafasi yake ni mshambuliaji aliweza kufanya vizuri katika michuano ya kimataifa ambapo aliweza kutupia jumla ya mabao 19 katika michezo ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho ndani ya timu hiyo.


Habari zimeeleza kuwa nyota huyo yupo Bongo ambapo alitua kimyakimya ili kufanya mazungumzo na Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes. 


"Makusu anekuja nchini kwa ajili ya kuzungumza na viongozi wa Simba kabla ya kuja Dar alikuwa amesharudi kwao Congo akitokea Afrika Kusini ambapo alikuwa ndani ya Orlando Pirates inayoshiriki ligi huko Sauzi,".


Kocha Msaidizi wa AS Vita ya Congo, Roul Shungu amesema kuwa hana taarifa juu ya mshambuliaji huyo kuja Tanzania ila anajua kwamba Simba inamuhitaji mchezaji huyo.


Mwenyekiti wa Simba, Murtaza Mangungu amesema kuwa masuala ya usajili bado wakati wake.


Chanzo: Championi



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MAKUSU ATAJWA KUINGIA ANGA ZA SIMBA
MAKUSU ATAJWA KUINGIA ANGA ZA SIMBA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEji_dbzxtyQr93RL0pFeMqVSgk2ZcN9Lv5OlvCTA4GL_5KyARgtOCw6nLKMqGj4DMCxBV-Xig4tWRsq3CE-5PFQ8kO-xtbzno0uZCLh4FbrnopBpfs9gJ8Q7XWSdj8G8jrW7lnm6eOVooBp/w632-h640/Screenshot_20210714-071018_Instagram.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEji_dbzxtyQr93RL0pFeMqVSgk2ZcN9Lv5OlvCTA4GL_5KyARgtOCw6nLKMqGj4DMCxBV-Xig4tWRsq3CE-5PFQ8kO-xtbzno0uZCLh4FbrnopBpfs9gJ8Q7XWSdj8G8jrW7lnm6eOVooBp/s72-w632-c-h640/Screenshot_20210714-071018_Instagram.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/makusu-atajwa-kuingia-anga-za-simba.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/07/makusu-atajwa-kuingia-anga-za-simba.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy