HARRY KANE BADO YUPOYUPO SANA TOTTENHAM
HomeMichezo

HARRY KANE BADO YUPOYUPO SANA TOTTENHAM

  HARRY Kane amesema kuwa kwa sasa hataondoka ndani ya kikosi cha Tottenham atabaki kwa msimu mzima baada ya dili lake la kuibukia Manches...

 


HARRY Kane amesema kuwa kwa sasa hataondoka ndani ya kikosi cha Tottenham atabaki kwa msimu mzima baada ya dili lake la kuibukia Manchester City kubuma jumlajumla.

Kane amebakiza mkataba wa miaka mitatu kuendelea kuitumia timu ya Tottenham aliomba kuondoka kwenye kikosi hicho msimu huu ili aweze kutafuta changamoto mpya, lakini amekwama baada ya mazungumzo ya muda mrefu ambayo yalikuwa yakifanyika dhidi ya City kukwama.

Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Kane ambaye pia ni nahodha wa timu ya taifa ya England amesema kuwa anafurahi kubaki hapo na atatumia nguvu zake nyingi katika kuipa mafanikio timu hiyo kwa kushirikiana na wachezaji wenzake.

Kwa upande wa Kocha Mkuu wa timu hiyo Nuno Espirito Santo amesema kuwa hiyo ni habari njema na kubwa kwa kila mtu kwa kuwa Kane ameamua kubaki katika kikosi hicho na ana matumaini watafanya vizuri katika mashindano ambayo watashiriki.

"Ni habari kubwa kwa kila mtu kusikia kwamba Kane anabaki, tutafanya vizuri na tutafanya naye kazi leo tukiwa na uhakika wa uwepo wake kesho hilo limeisha," .


 



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: HARRY KANE BADO YUPOYUPO SANA TOTTENHAM
HARRY KANE BADO YUPOYUPO SANA TOTTENHAM
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhMab0eoRsERi_SpqzMsuZMqjZSN6dyk-wyWyWRgkSwyVA3F1htbcnDUljP_pWxSGJOeCPsWy5C1eNM3WAl3OTsZzIK0HUjGNU8_x9qPfCIdCuKaTHLBDKvxaJBePrNQQwYV_OHTo3CIka-/w640-h336/Kane+spars.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhMab0eoRsERi_SpqzMsuZMqjZSN6dyk-wyWyWRgkSwyVA3F1htbcnDUljP_pWxSGJOeCPsWy5C1eNM3WAl3OTsZzIK0HUjGNU8_x9qPfCIdCuKaTHLBDKvxaJBePrNQQwYV_OHTo3CIka-/s72-w640-c-h336/Kane+spars.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/harry-kane-bado-yupoyupo-sana-tottenham.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/08/harry-kane-bado-yupoyupo-sana-tottenham.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy