KIUNGO wa Simba, Hassan Dilunga amesema kuwa walikuwa bora kipindi cha kwanza jambo ambalo limewafanya waweze kupata ushindi wa mabao 2-0 mb...
KIUNGO wa Simba, Hassan Dilunga amesema kuwa walikuwa bora kipindi cha kwanza jambo ambalo limewafanya waweze kupata ushindi wa mabao 2-0 mbele ya KMC , jana Uwanja wa Mkapa.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Kuhusu kuingia akitoka benchi na kubadili mchezo amesema kuwa ni suala la kusoma mchezo. Pia amegusia kuhusu kupoteza kwao mbele ya Yanga wa kufungwa bao 1-0 kwamba hakujawafurahisha hivyo suala hilo wanamuachia Mungu.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS