TANZANIA PRISONS YAZITAKA POINTI TATU ZA AZAM FC
HomeMichezo

TANZANIA PRISONS YAZITAKA POINTI TATU ZA AZAM FC

 UONGOZI wa Tanzania Prisons umesema kuwa upo tayari kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Azam FC utakaochezwa kesho, Februar...

SIMBA:KILA KITU KINAKWENDA SAWA KUHUSU SIMBA DAY
KUMBE! WACHEZAJI SPURS WALITOROKA KAMBI ENGLAND
SAUTI: YANGA WAPATA SIRI ZA WANAIGERIA WATAKAOMENYANA NAO KWA MKAPA

 UONGOZI wa Tanzania Prisons umesema kuwa upo tayari kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Azam FC utakaochezwa kesho, Februari 22, Uwanja wa Azam Complex.

Mchezo huo ni wa mzunguko wa pili ambapo ule wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Nelson Mandela, Azam FC ilishinda bao 1-0.

Kocha Msaidizi wa Tanzania Prisons, Shaban Kazumba amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo huo na wanaamini kwamba watapata pointi tatu muhimu.

"Ni mchezo wenye ushindani na mgumu ila mipango yetu ni kuona kwamba tunapata pointi tatu muhimu ndani ya uwanja.

"Mipango ipo sawa na kila mchezaji morali yake ni kubwa, tunahitaji ushindi ni wakati wetu wa kuona kwamba tunashinda na kupata pointi tatu muhimu,".

Mchezo wao uliopita walipokutana mfungaji alikuwa ni Prince Dube ambaye ni kinara wa mabao ndani ya Azam FC akiwa na mabao saba.

Mchezo wao uliopita Prisons ilishinda mabao 2-1 dhidi ya KMC inakutana na Azam FC ambayo imetoka kushinda mabao 2-1 dhidi ya Mbeya City.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: TANZANIA PRISONS YAZITAKA POINTI TATU ZA AZAM FC
TANZANIA PRISONS YAZITAKA POINTI TATU ZA AZAM FC
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjBNb2sTdm0s5e9zNcCCoVy3I6lh_l5o7kvW4C5kfkHNB-MV3DabVCb__Qk4y7FOa_kBI7-diO1e8FcydN9x6APu_KXHIrbMyD0BqaGP04ppfVc9XrLbs-ZtB5tbkFkYyauAELa9PsDEqLn/w640-h570/Dube+v+prisons.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjBNb2sTdm0s5e9zNcCCoVy3I6lh_l5o7kvW4C5kfkHNB-MV3DabVCb__Qk4y7FOa_kBI7-diO1e8FcydN9x6APu_KXHIrbMyD0BqaGP04ppfVc9XrLbs-ZtB5tbkFkYyauAELa9PsDEqLn/s72-w640-c-h570/Dube+v+prisons.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/tanzania-prisons-yazitaka-pointi-tatu.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/tanzania-prisons-yazitaka-pointi-tatu.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy