IMEELEZWA kuwa Kocha Mkuu wa Simba, Didier Gomes, anahitaji wachezaji watatu ambapo kati ya hao ni pamoja na beki, kiungo mmoja na mshambuli...
IMEELEZWA kuwa Kocha Mkuu wa Simba, Didier Gomes, anahitaji wachezaji watatu ambapo kati ya hao ni pamoja na beki, kiungo mmoja na mshambuliaji. Miongoni mwa wachezaji ambao wapo kwenye rada za Simba ni pamoja na kiungo, Oche Ochowechi raia wa Nigeria anayecheza ndani ya Klabu ya Plateau United.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS