Rais Samia Ataja Sababu za Kuitenga wizara ya maendeleo jamii kutoka wizara ya afya
HomeHabari

Rais Samia Ataja Sababu za Kuitenga wizara ya maendeleo jamii kutoka wizara ya afya

Rais Samia Suluhu Hassan amesema uamuzi wake wa kuitenga wizara itakayoshughulikia jinsia, maendeleo,  wanawake na wizara ya afya  ni kui...


Rais Samia Suluhu Hassan amesema uamuzi wake wa kuitenga wizara itakayoshughulikia jinsia, maendeleo,  wanawake na wizara ya afya  ni kuimarisha utekelezaji wa mipango na sera.

Ameeleza hayo  leo Alhamisi Desemba 16, 2021 katika uzinduzi wa kamati ya ushauri ya kitaifa kuhusu utekelezaji wa ahadi za nchi kwenye jukwaa la kizazi chenye usawa katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Dodoma.

“Sasa ndugu zangu unaweza kuona kwamba pamoja na jitihada zote tulizozifanya na mipangano na sera zote tulizoweka bado hatujafika tulipotakiwa kufika."

"Sasa ili tuweze kufika tunapotakiwa kufika lazima kuwe na usimamizi, uratibu, kutathimini na ufuatiliaji wa sera na utekelezaji wetu wa mipango. Wizara hizi mbili mkizitizama ni afya na..., uamuzi wangu ni kuitenga wizara itakayoshughulikia jinsia maendeleo wanawake na mambo mengine," amesema.

Huku akishangiliwa amesema, "kutoka kwenye kuchanganywa na wizara ya afya kwa sababu tukiweka wizara ya afya na mambo mengine na  hali tuliyonayo sasa duniani sekta ya afya pekee yake inachukua sura kubwa ya wizara hii kuliko vipengele vingine vilivyobaki."

"Lakini kama tutatenga vipengelee vingine vilivyobaki na afya tukaisimamisha pekee yake usimamisizi wa sera, sheria na mambo mengine unaweza ukaenda vizuri na ukapata msukumo unaohitajika. Kwa hiyo hayo ndio maamuzi yangu na nitajaribu kumshawishi Rais wa Zanzibar naye afanye hivyo hivyo ili twende vizuri.”



Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Rais Samia Ataja Sababu za Kuitenga wizara ya maendeleo jamii kutoka wizara ya afya
Rais Samia Ataja Sababu za Kuitenga wizara ya maendeleo jamii kutoka wizara ya afya
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEj6o6hRHn2a5oBl86jDybrMxqPcn0hQyop167b8f_Rg9O9LlZt4Eu95XDNBNsyXs1vqOU78UNKDpAAk7a6N-ErbBAxMPt9FxUSceABeQjhqLsJASEVqdzcxEKYF4zzFvZ-kxjlg6-mPnL4-H6dFekvt9n_vapb6l-YnRbdPYtQNHshdOWmThBfvYT2EWw=s16000
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEj6o6hRHn2a5oBl86jDybrMxqPcn0hQyop167b8f_Rg9O9LlZt4Eu95XDNBNsyXs1vqOU78UNKDpAAk7a6N-ErbBAxMPt9FxUSceABeQjhqLsJASEVqdzcxEKYF4zzFvZ-kxjlg6-mPnL4-H6dFekvt9n_vapb6l-YnRbdPYtQNHshdOWmThBfvYT2EWw=s72-c
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/12/rais-samia-ataja-sababu-za-kuitenga.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/12/rais-samia-ataja-sababu-za-kuitenga.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy