Waziri Jafo Aahidi Atahakikisha Changamoto Za Muungano Zilizosalia Zinapatiwa Ufumbuzi
HomeHabari

Waziri Jafo Aahidi Atahakikisha Changamoto Za Muungano Zilizosalia Zinapatiwa Ufumbuzi

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Selemani Said Jafo amesema atahakikisha changamoto za Muungano ziliso...


Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Selemani Said Jafo amesema atahakikisha changamoto za Muungano zilisosalia zinapatiwa ufumbuzi.

Ameyasema hayo jana  mara baada ya kuwasili katika Ofisi ya Makamu wa Rais na kukutana na Menejimenti ya Ofisi yake na Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira nchini.

“Nashukuru kwa mapokezi mazuri, ila tuchape kazi tunahitaji kupata matokeo chanya kwa kazi tunazo simamia yaani Muungano na Mazingira” Jafo alisisitiza.

Kwa upande mwingine Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Hamad Chande amesisitiza ushirikiano baina ya watumishi katika kuhakikisha malengo ya kudumisha Muungano na kusimamia Mazingira yanatekelezeka.

Akiwasilisha taarifa ya Ofisi yake Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Mhandisi Joseph Malongo amewahakikishia ushirikiano Mawaziri na kuwakaribisha kwa niaba ya watumishi wenzake.


Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Waziri Jafo Aahidi Atahakikisha Changamoto Za Muungano Zilizosalia Zinapatiwa Ufumbuzi
Waziri Jafo Aahidi Atahakikisha Changamoto Za Muungano Zilizosalia Zinapatiwa Ufumbuzi
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgmloz0j1U8w-HzIQECi0e53pEFgi29s6XTTOy3VQghSHgMVBp_DjWqwaGluLeUb9CwcG0-Idj3z1LKgpmiTsmtbrMyYjpz2USDBMat5AadZKhyphenhyphenLJIR0GLndM1kfcy_drbdZtQ0-tNo04PG/s16000/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgmloz0j1U8w-HzIQECi0e53pEFgi29s6XTTOy3VQghSHgMVBp_DjWqwaGluLeUb9CwcG0-Idj3z1LKgpmiTsmtbrMyYjpz2USDBMat5AadZKhyphenhyphenLJIR0GLndM1kfcy_drbdZtQ0-tNo04PG/s72-c/1.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/waziri-jafo-aahidi-atahakikisha.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/waziri-jafo-aahidi-atahakikisha.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy