IGP Sirro Arudi Tena Kibiti Na Kutoa Maagizo Mazito Kwa Kamati Za Ulinzi Na Usalama
HomeHabari

IGP Sirro Arudi Tena Kibiti Na Kutoa Maagizo Mazito Kwa Kamati Za Ulinzi Na Usalama

NA  KIBITI, PWANI Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro amewataka viongozi wa dini pamoja na viongozi wa Kamati za Ulinzi na us...

Waziri Mbarawa Alivyotinga Bandari Ya Dar Es Salaam Usiku Kukagua Utendaji Kazi
Dawa ya Kuondoa Mvi,Kutengeneza Mwili na Nguvu za Kiume
Waziri Mchengerwa Aelekeza Walengwa Wa TASAF Kupewa Ruzuku Kabla Ya Krismasi


NA  KIBITI, PWANI
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro amewataka viongozi wa dini pamoja na viongozi wa Kamati za Ulinzi na usalama za wilaya, tarafa, Vijiji na Vitongoji kuhakikisha wanatimiza wajibu wao katika suala zima la ulinzi na usalama kwenye maeneo yao.

IGP Sirro amesema hayo jana wakati alipofanya ziara ya kikazi Kibiti na Ikwiriri mkoani Pwani na kukutana na Viongozi wa Halmashauri tatu za Mkoa huo ikiwemo Mkuranga, Kibiti na Ikwiriri pamoja na viongozi wengine wa Kamati za Usalama kwa lengo la kuwakumbusha wajibu wao.

Akizungumzia suala la usalama katika maeneo ya Kibiti na Ikwiriri IGP Sirro amesema kuwa, bado zipo changamoto chache kama wizi wa Pikipiki, mifugo na uhalifu mwingine mdogo mdogo ambao unaendelea kudhibitiwa.

Naye Diwani wa Kata ya Ikwiriri Ali Mbwana  amesema kuwa, wananchi wanalipongeza Jeshi la Polisi kwa kuendelea kuchukua hatua mbalimbali kuhakikisha hali ya amani na usalama hasa eneo la Ikwiriri na Kibiti Inazidi kuimarika.


Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: IGP Sirro Arudi Tena Kibiti Na Kutoa Maagizo Mazito Kwa Kamati Za Ulinzi Na Usalama
IGP Sirro Arudi Tena Kibiti Na Kutoa Maagizo Mazito Kwa Kamati Za Ulinzi Na Usalama
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEhcPtgg0gztR7DI7gfotgiW3F5PxS6PX4gAGoP0RqqdsmVxZqoTdDo9uOZQaMX7RZ3ub-3MYoYKy0_vr_n4xrcVXQQCIPLINyQm1HfbZ8sxW_mj3AuDKB4LNsqjsM8GvDQnftgrlPYRmT7KA6dmIx0LsllkjQ0HPm0WkEfKu31N1_rDJLmCojgZ-P0AgQ=s16000
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEhcPtgg0gztR7DI7gfotgiW3F5PxS6PX4gAGoP0RqqdsmVxZqoTdDo9uOZQaMX7RZ3ub-3MYoYKy0_vr_n4xrcVXQQCIPLINyQm1HfbZ8sxW_mj3AuDKB4LNsqjsM8GvDQnftgrlPYRmT7KA6dmIx0LsllkjQ0HPm0WkEfKu31N1_rDJLmCojgZ-P0AgQ=s72-c
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/12/igp-sirro-arudi-tena-kibiti-na-kutoa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/12/igp-sirro-arudi-tena-kibiti-na-kutoa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy