LUIS MIQUISSONE ANAONDOKA SIMBA, DAU LAKE NI NOMA
HomeMichezo

LUIS MIQUISSONE ANAONDOKA SIMBA, DAU LAKE NI NOMA

KUNA uwezekano mdogo sana kwa Klabu ya Simba kubaki na huduma ya nyota wao Luis Miquissone kwa msimu ujao ndani ya Ligi Kuu Bara kutokana ...

YA AFCON YAMEKWISHA SASA NGUVU IWE KWENYE UWEKEZAJI MAANA NI MAUMIVU
LIVERPOOL YAINYOOSHA 3G ARSENAL EMIRATES
MWAMBUSI AWATAJA WASHAMBULIAJI WATAKAOWASHANGAZA WENGI

KUNA uwezekano mdogo sana kwa Klabu ya Simba kubaki na huduma ya nyota wao Luis Miquissone kwa msimu ujao ndani ya Ligi Kuu Bara kutokana na timu nyingi kuhitaji saini yake.

Miongoni mwa timu ambazo zinapewa nafasi kubwa ya kusepa na saini ya kiungo huyo ambaye wengi hupenda kumuita Konde Boy ni pamoja na Klabu ya Al Ahly.

Hivyo nyota huyo anaweza kuondoka ndani ya Simba ikiwa dau la timu ambazo zinamtazama zitakubalika ndani ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes.

Al Ahly ambayo ni klbu bora Afrika inatambua balaa la nyota huyo kwa kuwa aliwatungua Uwanja wa Mkapa dakika ya 30 akiwa nje ya 18 na kuwafanya waache pointi tatu jumla kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika, hatua ya makundi.

Bao lake hilo limetambuliwa na kuchaguliwa na Shirikisho la Soka Afrika,(Caf) kuwa bao bora la wiki huku jina lake pia likitajwa kwenye kikosi bora cha wiki pamoja na beki Joash Onyango ambaye naye yupo ndani ya Simba.

Mchezo wao ujao ni dhidi ya Al Merrikh ya Sudan ambao unatarajiwa kuchezwa Machi 6.

Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara amesema kuwa sio Afrika pekee ambao wanamtazama Konde Boy bali hata nje ya nchi wapo mawakala wanaofuatilia kwa karibu mwendo wa nyota huyo.

"Sio Afrika pekee bali hata nje ya nchi hilo tunalijua na lipo wazi, lakini ili auzwe dau lake halitakuwa chini ya Euro milioni moja hivyo hilo ni la chini kabisakabisa,"



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: LUIS MIQUISSONE ANAONDOKA SIMBA, DAU LAKE NI NOMA
LUIS MIQUISSONE ANAONDOKA SIMBA, DAU LAKE NI NOMA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgiNLIFFn_YV5Pxn1kdZiDLY2XBt4Xm9CK3IvpYARBmZ-ATnt9h_m0JPkarnHMADd74bR6Ep7PPbMaOroDsUW45ElPf_f_fEXc5p1Z-iydarDdEl6zTSY4br2pZHJqJJGvc-Q6vzKmbqNZh/w640-h480/Luis+kijiji.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgiNLIFFn_YV5Pxn1kdZiDLY2XBt4Xm9CK3IvpYARBmZ-ATnt9h_m0JPkarnHMADd74bR6Ep7PPbMaOroDsUW45ElPf_f_fEXc5p1Z-iydarDdEl6zTSY4br2pZHJqJJGvc-Q6vzKmbqNZh/s72-w640-c-h480/Luis+kijiji.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/luis-miquissone-anaondoka-simba-dau.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/luis-miquissone-anaondoka-simba-dau.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy