CHEKI DAKIKA 360 ZA MWAMBUSI YANGA KABLA YA KUKUTANA NA SIMBA
HomeMichezo

CHEKI DAKIKA 360 ZA MWAMBUSI YANGA KABLA YA KUKUTANA NA SIMBA

  J UMA Mwambusi, Kaimu Kocha  Mkuu wa Yanga, ana takribani  dakika 360 kusaka pointi 12, kabla  ya kukutana na Simba katika Dabi  ya Kari...


 JUMA Mwambusi, Kaimu Kocha Mkuu wa Yanga, ana takribani dakika 360 kusaka pointi 12, kabla ya kukutana na Simba katika Dabi ya Kariakoo.

 

Mechi nne ambazo ni sawa na dakika 360 ndani ya Aprili kwa Yanga, zitaanzia Aprili 10 dhidi ya KMC, Uwanja wa Mkapa.


Mchezo wa kwanza walipokutana CCM Kirumba, Mwanza, ubao ulisoma KMC 1-2 Yanga.Aprili 17, Yanga itasaka pointi tatu mbele ya Biashara United, Uwanja wa Mkapa, mchezo wa kwanza walipokutana Karume, Mara, ubao ulisoma Biashara United 0-1 Yanga.

 

Baada ya hapo, Aprili 20, Yanga itamenyana na Gwambina FC, Uwanja wa Mkapa, zilipokutana Gwambina Complex, ngoma ilikamilika 0-0

Aprili 25, Yanga itasaka ushindi mbele ya Azam FC, Uwanja wa Mkapa, mchezo wa kwanza walipokutana Azam Complex, ubao ulisoma Azam FC 0-1 Yanga.

 

Baada ya kumaliza vigongo hivyo katika dakika 360 kwenye ligi, kigongo chake kinachofuata Mei 8, Uwanja wa Mkapa, dhidi ya mabingwa watetezi wa ligi hiyo, Simba ampapo walipokutana mechi ya kwanza uwanjani hapo, ubao ulisoma Yanga 1-1 Simba.


Kwenye msimamo wa ligi hivi sasa, Yanga ipo nafasi ya kwanza ikiwa na pointi 50 baada ya kucheza mechi 23, Simba wapo nafasi ya pili na pointi 46 baada ya kucheza mechi 20.


Endapo Mwambusi atafanya vizuri katika mechi hizo nne, ni wazi atakuwa anakwenda kupambana na Simba huku wapinzani wao wakiwa na tahadhari kubwa.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: CHEKI DAKIKA 360 ZA MWAMBUSI YANGA KABLA YA KUKUTANA NA SIMBA
CHEKI DAKIKA 360 ZA MWAMBUSI YANGA KABLA YA KUKUTANA NA SIMBA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgxEJGBjlXJuZtZdyOcZc5ctpvreS9ZE7oYFMRG_JutSLaONUDD7sOHm644aqAGchTPM7UBZ_ppLkv2dn3BbwQV600iqouQd8SaZirl2OGwkRygATur9lDZgr8Ki16DJPwGtVJa9w36BCQv/w572-h640/Mwambusi+Yanga.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgxEJGBjlXJuZtZdyOcZc5ctpvreS9ZE7oYFMRG_JutSLaONUDD7sOHm644aqAGchTPM7UBZ_ppLkv2dn3BbwQV600iqouQd8SaZirl2OGwkRygATur9lDZgr8Ki16DJPwGtVJa9w36BCQv/s72-w572-c-h640/Mwambusi+Yanga.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/cheki-dakika-360-za-mwambusi-yanga.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/cheki-dakika-360-za-mwambusi-yanga.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy