Waziri Mkuu Aridhia Kuongeza Siku Saba Kwa Kamati Maalumu Ya Kuchunguza Mauaji Mtwara, Kilindi
HomeHabari

Waziri Mkuu Aridhia Kuongeza Siku Saba Kwa Kamati Maalumu Ya Kuchunguza Mauaji Mtwara, Kilindi

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameridhia kuongeza muda wa siku saba kwa kamati maalum iliyopewa jukumu la kuchunguza mauaji yaliyofanyika Mt...

Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 13, 2025
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 13, 2025
PPP waandaa zoezi la kuibua miradi Mikoa 12


WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameridhia kuongeza muda wa siku saba kwa kamati maalum iliyopewa jukumu la kuchunguza mauaji yaliyofanyika Mtwara na Kilindi, Tanga.

Kamati hiyo iliyoanza kazi Februari 4, 2022 ilipaswa kukamilisha ripoti yake ndani ya siku 14, zilizoishia Februari 17, 2022. Lakini kutokana na ukubwa wa kazi na mahitaji ya kujiridhisha na baadhi ya masuala, kamati imeomba kuongezewa siku saba kuanzia Februari 17 hadi Februari 23, 2022.

Kamati hiyo iliundwa na Waziri Mkuu ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan alilolitoa Februari 4, 2022 mjini Magu, Mwanza akiwa njiani kuelekea Musoma, Mara kwenye maadhimisho ya miaka 45 ya CCM.

Aidha, Mheshimiwa Waziri Mkuu anatoa wito kwa mamlaka husika kuendelea kutoa ushirikiano kwa kamati ili iweze kuikamilisha kazi hiyo kwa wakati na ufanisi


Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Waziri Mkuu Aridhia Kuongeza Siku Saba Kwa Kamati Maalumu Ya Kuchunguza Mauaji Mtwara, Kilindi
Waziri Mkuu Aridhia Kuongeza Siku Saba Kwa Kamati Maalumu Ya Kuchunguza Mauaji Mtwara, Kilindi
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEjEj_HSOhVWzGzoVUIULRZayH_gXQvKk1rY3sHc0Bp0DlHFLU_LCTkh0gNT-s6Di3BvwKbAI-x9NbCqUFwSdCcwZMpk1Bc9WQZEcec-Xtcmh0Y7G_HNi9zrSVPfiw9bHmj4-pAYfb7Bz3Mea46s2EK3slKRLPEAsYZnHqMwN8KA8DUuTORjyAOCIxPNoA=s16000
https://blogger.googleusercontent.com/img/a/AVvXsEjEj_HSOhVWzGzoVUIULRZayH_gXQvKk1rY3sHc0Bp0DlHFLU_LCTkh0gNT-s6Di3BvwKbAI-x9NbCqUFwSdCcwZMpk1Bc9WQZEcec-Xtcmh0Y7G_HNi9zrSVPfiw9bHmj4-pAYfb7Bz3Mea46s2EK3slKRLPEAsYZnHqMwN8KA8DUuTORjyAOCIxPNoA=s72-c
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2022/02/waziri-mkuu-aridhia-kuongeza-siku-saba.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2022/02/waziri-mkuu-aridhia-kuongeza-siku-saba.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy